Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamepigwa sana huko na zile story za mali za mjerumaniM
Morogoro bhana ishakuwa ya matapeli sana😀😀jamaa aliyeleta uzi atakuwa yupo kwenye chain ya scammers au anatumika bila kujua,
Utapeli wa kizamani sana huyoWakuu,Inahitajika noti ya miatano ya zamani kama inavyoonekana kwenye picha hizi👇
Contact:0613063581
Location: Morogoro.
Offer: 120,000/=
Note:Mimi dalali tu,boss amesema hata ikiwa zaidi ya moja ananunua.View attachment 2624969View attachment 2624971
Hamna utapeli wowote ni mawazo yako negativu tu.Ni weezy na utapeli tu ,haujawai kusikia jinsi watu wanavyotapeliwa kwa kutafuta hela za mjerumani ,mercury nyekundu na vijipesa kama hivyo vya TZ? Na hii ni moja ya style ya UTAPELI inaanza mtu anahitaji mia 5 ya noti(Kwa laki na 20) ,kisha anatokeza TAPELI mwenzake wanasema kuna mtu anazo yupo Morogoro anauza kwa elfu 50(Hapa unaona unapata cha juu elfu 70) kumbe huyo wa Moro ni Tapeli mwenzake 😀 😀 then unaingizwa mtu kati unapukutishwa mchana kweupe.
Nina yenye mmasai anakula msubaWakuu,Inahitajika noti ya miatano ya zamani kama inavyoonekana kwenye picha hizi👇
Contact:0613063581
Location: Morogoro.
Offer: 120,000/=
Note:Mimi dalali tu,boss amesema hata ikiwa zaidi ya moja ananunua.View attachment 2624969View attachment 2624971
Hamna utapeli wowote ni mawazo yako negativu tu.
Zipo mkuu nitumie nauli kesho nianze safariZinahitajika zenye nyerere kwa ndani kama picha invyoonesha kwenye post,unaweza nicheki kwenye namba yangu kwa maelezo zaidi.
Tuma ya note moja tu 120,000/= nakuja nazo 16.Nikutumie na ya kutolea?
Kaitoe copy umpelekeeHii nime_download google.
io pyramid scheme japo umepatia kuitaja kma aina ya utapeli kwakua haina ngazi nyingi ambazo zinaweza kumfanya producer apate faida kubwa naona hizi issue zimekaa kiimani zaidiUnataka kutapeli watu kijana ,upatu aka pyramid scheme ni kosa la jinai