Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ninazo hizo hizo unazozihitaji. Niko mbali kidogo na nilikozihifadhi ila nitajitahidi kesho nikutumie pichaKwanza weka picha hapa tuone kama ni zenyewe kabisa,isijekuwa tunasumbuana tu. Au unaweza nitumia kwenye namba yangu (whatsapp) ipo juu kwenye post.
Niweke zote au moja.Weka picha kwanza tuone kama ni zenyewe, otherwise nenda jukwaa la jokes.
Niko nazo nne atapotoa offer zinapatikanaMe nilipewa offer ya million 20 kutafuta hizi ila sikuzipata
Pongezi kwake atakae jitokeza mwingine mwelekeze jina ilo apo isipokua masharti ya makabidhiano ni policeNimeshatoa offer,huyo mdau alikuwa anachangamsha thread.
Mkuu naona hujanileewaa! Mimi ndo mnunuaji nimetoa offer ya laki na ishirini,kama unazo karibu tufanye biashara,namba yangu ipo juu kwenye tangazo.Pongezi kwake atakae jitokeza mwingine mwelekeze jina ilo apo isipokua masharti ya makabidhiano ni police
Ilkuw ni 2021 tulizisaka san had vijijini lakini wapiNiko nazo nne atapotoa offer zinapatikana