natabiri: kwenye wallet kutajaa misarafu tu mwaka 2025
Kwani tofauti itakuwa wapi kwa atakayetoa ya noti na ya sarafu,ni kitu kile kile tu kwa upqnde wa chenchi,labda ungeangalia manufaa mengine.safi. chenchi kwa daladala zisisumbue
uchumi wetu uko ocean road kutoka ni issue
Wallet hazitafaa tena. Tutaanza kutumia vifuko kama enzi ya yuda.
safi. chenchi kwa daladala zisisumbue
we kweli umepitwa ingia kwenye mitandao upate habari , we ndio unajua leo mbona mi ndio natumia sasa iyo sarafu kweli we karaga baoWe umeitoa wap hyo??