Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

Yaan hii nchi yangu inafurahisha sana kuna mambo mengi ya msingi ya kuyafanya hawafanyi wamekazania kubadilisha pesa tu hizi pesa jmn si zimeingia miaka mitatu tu ilyopita ?? Where are we heading?
 
Hii hapa
 

Attachments

  • 1404708374805.jpg
    1404708374805.jpg
    36.6 KB · Views: 422
bora hiyo ndugu zangu kuwen wapole tu je wangezema watubadilishie jinsia?
 
uchumi wetu uko ocean road kutoka ni issue

nakumbuka hata not ya shiringi50, 100 na 200 zilianza kuondoka hivi hivi na kwasasa coin hizo hata ukiziona chini unaweza usiziokote
 
mungu ibariki tanzania
wabariki viongozi wake
dumisha uhuru na umoja

hah.... stres iz bas tu
 
Mara yangu ya kwanza kuwahi quote mradi Bongo tulifanya kwa shillingi za Tanzania, duh! nilishtuka kuona tunaandika bilioni, yaani kuwa milionea Bongo ni jambo rahisi, ila kwa shilingi za Kitanzania. Jameni kwetu Kenya hata ufanye usiku na mchana mfululizo, utakufa bila kuitwa bilionea, ama hata kuna wengine milioni ya Kikenya ni ndoto.

Unakula chakula na vinywaji hotelini halafu bill laki moja, duh! yaani laki, ampabo kwetu utanunua kiwanja.

CC: kadoda11 Bulldog Geza Ulole
 
Last edited by a moderator:
Mbona wezetu uganda wanayo na iko poa sana
 
ImageUploadedByJamiiForums1404749034.670797.jpg sarafu ya shilingi mia tano ambapo benki kuu ya tanzania inatarajia kuitoa hivi karibuni, sarafu iyo inachukua nafasi ya noti ya shilingi 500, pia aliongeza noti ya shilingi 500 itaondolewa taratibu katika mzunguko aliyasema mkurugenzi wa huduma za kibenki na sarafu wa bank kuu ya tanzania bw: emanuel boaz
 
Hivi Mia mbili nayo si ina picha ya karume?!

Naona pia size yake ni kama shilingi mia!
 
Back
Top Bottom