Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

Mara yangu ya kwanza kuwahi quote mradi Bongo tulifanya kwa shillingi za Tanzania, duh! nilishtuka kuona tunaandika bilioni, yaani kuwa milionea Bongo ni jambo rahisi, ila kwa shilingi za Kitanzania. Jameni kwetu Kenya hata ufanye usiku na mchana mfululizo, utakufa bila kuitwa bilionea, ama hata kuna wengine milioni ya Kikenya ni ndoto.

Unakula chakula na vinywaji hotelini halafu bill laki moja, duh! yaani laki, ampabo kwetu utanunua kiwanja.

CC: kadoda11 Bulldog Geza Ulole

hiyo ndio tofauti kati ya tsh na ksh,wachumi na wataalamu wa mambo ya fedha wanaelewa sababu ya kuwa hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Thamani ya ela na ukubwa wa hela zilizo katika sarafu vinaendana. Ndio mana utakuta nchi nyingine zenye fedha zenye thamani unakuta sarafu zao zina cents tuu
....hapa kwetu kuna siku elfu 10 nayo itakuwa kwenye sarafu
 
Ndo wanayoyaweza kuyafanya hayo mbona ata buku huchakaa.
Prof Ndulu another reason pls.
 
Mara yangu ya kwanza kuwahi quote mradi Bongo tulifanya kwa shillingi za Tanzania, duh! nilishtuka kuona tunaandika bilioni, yaani kuwa milionea Bongo ni jambo rahisi, ila kwa shilingi za Kitanzania. Jameni kwetu Kenya hata ufanye usiku na mchana mfululizo, utakufa bila kuitwa bilionea, ama hata kuna wengine milioni ya Kikenya ni ndoto.

Unakula chakula na vinywaji hotelini halafu bill laki moja, duh! yaani laki, ampabo kwetu utanunua kiwanja.

CC: kadoda11 Bulldog Geza Ulole

Unajua maana ya bilionea? Sasa hivi mtu toka Brazil akikuambia yeye ni bilionea unaelewa nini?
 
Inapotokea mtoto akaona ni bora angezaliwa na baba wa rafiki yake kuliko baba yake basi ujue baba huyo anapata laana kali. Viongozi wetu wanatupa ukakasi kutajata uraia wetu kwa wenzetu
Viongozi wetu wanasababisha tumlilie Mungu kwanini tulizaliwa nchi hii na si mataifa Mengine
Viongozi wetu wanatufanya tuwe wenye mashaaka na hatma ya kesho yetu.
Kusema ukweli laana hii haitawala wao tu ila mpaka vitukuu watajuta kwa makosa ya babu zao.
 
Hawa maprofesa wetu wakienda nchi za wenzetu watapewa kazi za kufagia barabara tu kwani nahisi uwezo wao wa kufikiri ni finyu sana.
Yeye ameangalia kigezo cha "NOTI KUCHAKAA HARAKA"bila kujali kigezo cha "KUISHUSHA THAMANI SHILINGI"na "KUZIDI KUPOROMOSHA UCHUMI WA NCHI"
Hopeless kabisa!!
 
naomba kufahamu kubadilishwa note ya 500 kwenda kwenye sarafu je thamani ya pesa imeshuka au?
 
we kweli umepitwa ingia kwenye mitandao upate habari , we ndio unajua leo mbona mi ndio natumia sasa iyo sarafu kweli we karaga bao

We chz nn.kwan kuulza n ujnga!!!! Bas kama ulhs sote tunajua uliiletea nn hii thread huku.ungebak na bakar kujua kwako.mxyuuuuu.suarez we
 
Natoa pole kwa makondakta na abiria wao mapemaa.mjiandae kugombana.
 
Wanatafuta pesa ya uchaguzi mbona karibia na chaguzi ndio hizi mambo zinatamalaki!!!
 
Hawa maprofesa wetu wakienda nchi za wenzetu watapewa kazi za kufagia barabara tu kwani nahisi uwezo wao wa kufikiri ni finyu sana.
Yeye ameangalia kigezo cha "NOTI KUCHAKAA HARAKA"bila kujali kigezo cha "KUISHUSHA THAMANI SHILINGI"na "KUZIDI KUPOROMOSHA UCHUMI WA NCHI"
Hopeless kabisa!!

Ulitaka asimame kwenye mic aseme "jamani uchumi umeporomoka,hivyo tunaongeza sarafu?"hata ningekuwa mie ningekudanganya tuu aisee!akili ya kupewa...
 
hawa wasitudangane, hela imezidi kushuka thamani kwa sababu ya wengi wa watawala wetu hawaelewi kitu. ni aibu kwa professor mzima kama huyu ndulu kuja kuuongopea umma kwa kitu ambacho kiko wazi. washukuru Mungu wamewekeza ujinga kwa watanzania. la sivyo pangechimbika.
 
View attachment 169475 sarafu ya shilingi mia tano ambapo benki kuu ya tanzania inatarajia kuitoa hivi karibuni, sarafu iyo inachukua nafasi ya noti ya shilingi 500, pia aliongeza noti ya shilingi 500 itaondolewa taratibu katika mzunguko aliyasema mkurugenzi wa huduma za kibenki na sarafu wa bank kuu ya tanzania bw: emanuel boaz
Sarafu ya buku jero
 
ImageUploadedByJamiiForums1404827762.435055.jpg

Sent from my iPhone
 
Inamaana hapo uchumi umepanda au umeshuka!!!au wameona noti zinachoka mapema?
 
Mbn inafanana na sarafu ya 100 mduara, saizi na rangi yake.

Wazitofautoshe kuepusha mkanganyiko kwa watumiaji.

Ingekuwa kubwa zaidi ya sarafu ya 200. Ukilinganisha thamani yake ni kubwa kizidi hizo ndogo za 50, 100, 200.
 
Back
Top Bottom