Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idris RashidWakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
Hivi Msuya alikuwa Waziri wa Pesa au Gavana?Cleopa Msuya. ☹️
Mimi nakumbuka tu kwa mbali kwenye baadhi ya pesa nilizowahi kutumia kipindi hicho, zilikuwa na sahihi ya huyu jamaa.Hivi Msuya alikuwa Waziri wa Pesa au Gavana?
Ili iweje?Wakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
Gilman RutihindaWakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
Kumbukumbu inaniambia alikuwa Waziri wa Prosoo.Mimi nakumbuka tu kwa mbali kwenye baadhi ya pesa nilizowahi kutumia kipindi hicho, zilikuwa na sahihi ya huyu jamaa.
Inawezekana. Maana hata Basil Pesambili Mramba alikuwa pia Waziri wa Fweza, na sahihi yake pia ilitamba sana kwenye noti zetu, enzi za Ben Mkapa.Kumbukumbu inaniambia alikuwa Waziri wa Prosoo.
Kwenye noti za Jamhuri huwa kuna saini mbili moja ya Waziri na moja ya gavanaInawezekana. Maana hata Basil Pesambili Mramba alikuwa pia Waziri wa Fweza, na sahihi yake pia ilitamba sana kwenye noti zetu, enzi za Ben Mkapa.