makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Natumia noti, tangu ina sahihi ya mtei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Topic Closed.Gilman Rutihinda.
Sometimes jishtukie na Ubumunda wako.Cleopa Msuya. ☹️
Popoma Genta, unanitangazia vita ya 3 ya dunia?Sometimes jishtukie na Ubumunda wako.
Kwa sababu gani? Kichaa anafikiri mwenye akili ndio kichaa?Ili tukuwaishe mirembe
Huyo zezeta anadai amesoma SAUT, by that time SAUT ilikuwa ni kigango tu cha kanisa jimbo katoliki la Mwanza.
Tuanzie kwako kwanzaWakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?