Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Kuacha soko la dar ngumu sana aseee waulize wakwambie kwa dar tu hua wanapiga shilling ngap ndo utajua umuhimu wa darOK, Sikumbuki hiyo ila hata hivyo ningekua mimi Ruge Soko la Dar ningeachana nalo kwa sasa..too much politics involved!
Hawa clouds unaowatetea wanaafiki haswaaaaaaHata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
Kula gwalaaaaUsijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hawana cha kupoteza, watafanikiwa sana kama lengo lao ni nyomi.
Tv za wapemba tu mitaani wabongo wanajaa nje ya maduka kuangalia movie za bure ndio sembuse show za bure?
Pesa wanayopiga dar ni mara mbili ya show zote za mikoani dar funga kaziKuacha soko la dar ngumu sana aseee waulize wakwambie kwa dar tu hua wanapiga shilling ngap ndo utajua umuhimu wa dar
Ngoja nimsaidie kujuwa, kumleta Rick Ross tu peke yake kwenye Fiesta clouds walitumia zaidi ya shilling million 100.Kuacha soko la dar ngumu sana aseee waulize wakwambie kwa dar tu hua wanapiga shilling ngap ndo utajua umuhimu wa dar
Capitalism haina mambo ya kulia lia hivyo,clouds wapambane tu.Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
Unakumbuka zile tuzo za EATV award clouds waliandaa tamasha la bure ufukweni au ndo Mkuki kwa nguruwe..??Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
__________________nimeshapigia mkuu.Ilo co la kuuliza au kushangaa.....wee pigia mstari tuuu
Google mkuubashite ndio nani eti
Kadhamini mpambano hahahaNdo ivo....yupo Efm nowadays
Kwaiyo muosha huoshwa mkuu?Kama mnafuatilia zamani clouds walishawafanyiaga hivi hivi times FM au magic (mtanirekebisha kidogo) walimleta Joe Thomas na wasanii wengine kutoka nje (venue leaders club ) na wao walikuwa wakwanza kutangaza siku ya tukio na clouds baada ya muda wakatangaza kumleta eve na fat Joe (venue viwanja vya posta) ,kusema kweli leaders kulipwaya yaani ile nafasi mnaweza mkaweka magori mkacheza mipira ya miguu ,alafu asubuhi take Gerald hando aliwaponda sana kwenye PB Leo yupo E FM.Clouds watu wafitina huwezi jua waliwafanya nini E FM.
Na Ariel tenaKwaiyo muosha huoshwa mkuu?
Usinikumbushe, ilikua show ya fiesta kati ya 2012/2013 nilichokishuhudia nilisema sitokanyaga tena FIESTAUsisahau na shows za fiesta watu huvuliwaga nguo pale kino makaburini kila linapofanyika mabint hudhalilishwa sana na wahuni
Yaani Diamond peke yake tu inatosha[emoji23][emoji23][emoji23] sema clouds watammind sana Mond.Mpo wangap, wenye hela kumbuka hilo tamasha la bure wanataka umati si pesa? EFM mleteni Diamond name msanii mmoja was nje mmalize kazi