Nakumbuka enzi Niko nakamilisha stage za makuaji yashanikuta nkasema Dar ntaenda fiesta siku akija Usher Raymond,Westlife au RUsinikumbushe, ilikua show ya fiesta kati ya 2012/2013 nilichokishuhudia nilisema sitokanyaga tena FIESTA
Wadada waliporwa ...walibakwa.... yaani watu ambao hawakuguswa walio kwenye magari...uwe kwenye bajaj..uwe kwenye boda unavutwaaa...
Kuna dada alivutwa akaangukia chini ya gari huku analia wamuachie, nilimuonea huruma ila unaanzaje kushuka kwenye gari umsaidie??
Nakubaliana na wewe hata FIESTA ina mambo ya kihuni.
Hapo pa R.Kelly tutakutana wote shogaNakumbuka enzi Niko nakamilisha stage za makuaji yashanikuta nkasema Dar ntaenda fiesta siku akija Usher Raymond,Westlife au R
Kelly
Wewe utabarikiwa zaidi mkuu...by the way siku hizi vijana hawali bata kama zamani, zamani watu walikuwa wanagawana burudani tu yaani mwingine anakwenda kwenye soka, mwingine disco na mwingine kwenye muziki wa dance na bado sehemu zote zilikuwa zinajaa.Nawengine tunaweka tamasha la nyimbo za injili( Gospel music Concert ) siku hiyo hiyo, nimesikia kuwa wasambaa watakuwa na ngoma ya mdumange na kiingilio bure kwa wasambaa wote, kama sio msambaa unaingia kwa buku jero
Wacha nijiandae kwenda Shangwe la bureYaani Diamond peke yake tu inatosha[emoji23][emoji23][emoji23] sema clouds watammind sana Mond.
Usijitoe ufahamu kujisahaulisha hao clouds walipopanga show ya Mwana Fa wakati siku hiyo Ladyjaydee alikuwa na uzinduzi wa albamu yake na wasanii aliowaalika Jide hawakwenda wakaenda show ya clouds
Do you think WCB watakwepo kwenye tamasha la EFM?Efm/tve -- Makonda -- Mlezi WCB
Hapo naanza kuona clouds wanavyopelekeshwa
Wasanii wanalipwa wwHapo msanii nae atachekecha akili yake, kwamba uitwe side A ya bure au uitwe side B ya mpunga
Aaachane na mambo za kaa yeye alivyo wafanyia kina jide alikuwa mdudu gani kama sio kaa??Umemsikia Boss Ruge leo? Anaomba Watanzania tusiwe kama kaa, unazijuwa tabia za kaa?
This is really Karma.
Wameshindwa biashara haoEatv usisahau wameweza kuandaa tuzo za mambo mengi,na ni jamaa ambao wabunifu kupita efm,clouds
Labda hizi entertainment media wewe huzifatilii,Efm wanainvest katika mabif ya kijinga...
WCB crew tayari wana mgogoro nao .
Watafeli vibaya sana. Wabaki tu na singeli zao.
TBC inapatikana bure star times ila haiangaliw sana,na je ITV si hadi ilipiwe?Ila moja ina bei nyingine ni bure......
Wana bif tokea lini??Efm wanainvest katika mabif ya kijinga...
WCB crew tayari wana mgogoro nao .
Watafeli vibaya sana. Wabaki tu na singeli zao.
Na huwa hawatak kuripot,kila MWAKA LAZIMA HAYO YATOKEE,toka leaders kuja manyanya huwa ni mbali mno kwa wadada,Usinikumbushe, ilikua show ya fiesta kati ya 2012/2013 nilichokishuhudia nilisema sitokanyaga tena FIESTA
Wadada waliporwa ...walibakwa.... yaani watu ambao hawakuguswa walio kwenye magari...uwe kwenye bajaj..uwe kwenye boda unavutwaaa...
Kuna dada alivutwa akaangukia chini ya gari huku analia wamuachie, nilimuonea huruma ila unaanzaje kushuka kwenye gari umsaidie??
Nakubaliana na wewe hata FIESTA ina mambo ya kihuni.
mkuu hujamsikia ruge na sera yake ya "kataa kuwa kaa"Mfumo ni wa biashara huria,kuna wakat JD na Mwana FA walifanya show siku 1,
Mambo ya kusema mpishe flan afanye sio zama hizi,
Efm watakua na venue yao na wasanii wao,clouds pia.
So wala hakuna KUOGOPANA,hizo ni biashara mkuu usiumize kichwa hata kidogo,itakua ajabu nao clouds kama watamhofia EFM[emoji23][emoji23][emoji23]