Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,040
Reaction score
4,529
Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never.

Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
 
Anaeombwa ni nani?
 
Kutoka 5–12
Musa aliomba Mungu mara kwa mara mbele ya Farao, na Mungu akaleta mapigo ya Misri hadi Farao akawaachia Waisraeli huru.

2 Wafalme 19:14–19
Hezekia aliomba Mungu amkomboe Yerusalemu kutoka kwa vitisho vya Senakeribu. Mungu akajibu kwa kupeleka malaika aliyeua maelfu ya majeshi ya Ashuru usiku mmoja.

​

​

Zaburi 109 ​

1 Ee Mungu wa sifa zangu, usinyamaze;
2 Kwa kuwa kinywa cha mtu mwovu na kinywa cha hila vimefunguliwa juu yangu; wamesema nami kwa ulimi wa uongo.
3 Wamenizunguka pia kwa maneno ya chuki; na kupigana nami bure.
4 Badala ya upendo wangu wamenishtaki; lakini mimi ni mtu wa maombi.
5 Wamenilipa baya kwa mema, na chuki kwa upendo wangu.

6 Weka mtu mwovu juu yake; na adui asimame mkono wake wa kuume.
7 Atakapohukumiwa, na ahukumiwe kuwa na hatia; na sala yake na iwe dhambi.
8 Siku zake na ziwe chache; na nafasi yake na aipate mtu mwingine.
9 Wanawe na wawe yatima, na mkewe awe mjane.
10 Na wanawe waende wakihitaji, wakaombe ombe, wakautoke mbali mahali pao palipobomolewa.

11 Watoza riba na wateke mali zake zote; na wageni na wapore kazi yake.
12 Asipate mtu wa kumfanyia rehema; wala asiwepo mtu wa kuwarehemu yatima wake.
13 Wazao wake na waangamizwe; kizazi chake kisionekane.
14 Uovu wa baba zake na ukumbukwe na Bwana; wala dhambi ya mama yake isifutwe.
15 Iwe mbele za Bwana daima, apate kuukata kumbukumbu lao katika dunia.

16 Kwa sababu hakukumbuka kufanya rehema, bali alimwudhi mtu maskini na mhitaji, na mwenye moyo uliopondeka, apate kumwua.
17 Naam, alipenda laana, ikamjia; hakupendezwa na baraka, ikajitenga naye.
18 Akavaa laana kama vazi lake, ikaingia ndani yake kama maji, na kama mafuta mifupani mwake.
19 Iwe kwake kama vazi ajiungiavyo, na kama mshipi avungavyo daima.

20 Hii na iwe thawabu ya watesi wangu, na ya wanaosema mabaya juu yangu kwa roho ya uovu.
21 Lakini wewe, Ee Bwana Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako; kwa kuwa rehema zako ni njema, uniponye.
22 Kwa kuwa mimi ni maskini na mhitaji, na moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.
23 Ninapita kama kivuli kirefukacho; natikiswa kama tunu.
24 Magoti yangu yamedhoofishwa kwa kufunga; na mwili wangu umepungua kwa kukosa mafuta.
25 Nimekuwa kitu cha aibu kwao; wanipowatazama, hunitingisha vichwa vyao.

26 Ee Bwana Mungu wangu, unisaidie; uniokoe sawasawa na rehema zako.
27 Wajue ya kuwa mkono wako huu; ya kuwa wewe, Bwana, ndiye uliyefanya hivyo.
28 Wao na walaani, lakini wewe ubariki; watakapoinuka, na waibishwe; lakini mtumishi wako na afurahi.
29 Watesi wangu na wavae aibu; na kujivika aibu yao kama vazi.
30 Nitamsifu Bwana kwa kinywa changu sana; naam, nitamsifu katika kusanyiko la wengi.
31 Kwa kuwa atasimama mkono wa kuume wa mhitaji, ili amwokoe na hao wahukumu roho yake.
 
Sasa nani qnawatisha
Sasa nani anawatisha zaidi ya chuki zenu na udini uliwajaa
 
Waovu nao watapitia humo humo kwenye mgomo kutimiza yao!

Viongozi ni vyema kuwa na unyenyekevu na usikivu.
 
Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never.

Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
Alikwambia lini hayo?
 
Acha ujinga aseee!! Mlamba nyayo za viongoz!! Acha ujinga aseee!!
 
Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never.

Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
Acha kudanganya umma
 
Mnataka kukomoa, ila hamko tayari kukomolewa!
 
Kutoka 5–12
Musa aliomba Mungu mara kwa mara mbele ya Farao, na Mungu akaleta mapigo ya Misri hadi Farao akawaachia Waisraeli huru.

2 Wafalme 19:14–19
Hezekia aliomba Mungu amkomboe Yerusalemu kutoka kwa vitisho vya Senakeribu. Mungu akajibu kwa kupeleka malaika aliyeua maelfu ya majeshi ya Ashuru usiku mmoja.

​

​

Zaburi 109 ​

1 Ee Mungu wa sifa zangu, usinyamaze;
2 Kwa kuwa kinywa cha mtu mwovu na kinywa cha hila vimefunguliwa juu yangu; wamesema nami kwa ulimi wa uongo.
3 Wamenizunguka pia kwa maneno ya chuki; na kupigana nami bure.
4 Badala ya upendo wangu wamenishtaki; lakini mimi ni mtu wa maombi.
5 Wamenilipa baya kwa mema, na chuki kwa upendo wangu.

6 Weka mtu mwovu juu yake; na adui asimame mkono wake wa kuume.
7 Atakapohukumiwa, na ahukumiwe kuwa na hatia; na sala yake na iwe dhambi.
8 Siku zake na ziwe chache; na nafasi yake na aipate mtu mwingine.
9 Wanawe na wawe yatima, na mkewe awe mjane.
10 Na wanawe waende wakihitaji, wakaombe ombe, wakautoke mbali mahali pao palipobomolewa.

11 Watoza riba na wateke mali zake zote; na wageni na wapore kazi yake.
12 Asipate mtu wa kumfanyia rehema; wala asiwepo mtu wa kuwarehemu yatima wake.
13 Wazao wake na waangamizwe; kizazi chake kisionekane.
14 Uovu wa baba zake na ukumbukwe na Bwana; wala dhambi ya mama yake isifutwe.
15 Iwe mbele za Bwana daima, apate kuukata kumbukumbu lao katika dunia.

16 Kwa sababu hakukumbuka kufanya rehema, bali alimwudhi mtu maskini na mhitaji, na mwenye moyo uliopondeka, apate kumwua.
17 Naam, alipenda laana, ikamjia; hakupendezwa na baraka, ikajitenga naye.
18 Akavaa laana kama vazi lake, ikaingia ndani yake kama maji, na kama mafuta mifupani mwake.
19 Iwe kwake kama vazi ajiungiavyo, na kama mshipi avungavyo daima.

20 Hii na iwe thawabu ya watesi wangu, na ya wanaosema mabaya juu yangu kwa roho ya uovu.
21 Lakini wewe, Ee Bwana Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako; kwa kuwa rehema zako ni njema, uniponye.
22 Kwa kuwa mimi ni maskini na mhitaji, na moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu.
23 Ninapita kama kivuli kirefukacho; natikiswa kama tunu.
24 Magoti yangu yamedhoofishwa kwa kufunga; na mwili wangu umepungua kwa kukosa mafuta.
25 Nimekuwa kitu cha aibu kwao; wanipowatazama, hunitingisha vichwa vyao.

26 Ee Bwana Mungu wangu, unisaidie; uniokoe sawasawa na rehema zako.
27 Wajue ya kuwa mkono wako huu; ya kuwa wewe, Bwana, ndiye uliyefanya hivyo.
28 Wao na walaani, lakini wewe ubariki; watakapoinuka, na waibishwe; lakini mtumishi wako na afurahi.
29 Watesi wangu na wavae aibu; na kujivika aibu yao kama vazi.
30 Nitamsifu Bwana kwa kinywa changu sana; naam, nitamsifu katika kusanyiko la wengi.
31 Kwa kuwa atasimama mkono wa kuume wa mhitaji, ili amwokoe na hao wahukumu roho yake.
Braza mbona umetumia sala kali sana. Wakipatikana na hatia wanafutwa kuanzia kizazi Cha kwanza mpaka Cha nne. Hapo unamfuta mtu kizazi chake chote. Kama umemuonea ujue inakirudia. Ni sala ambayo unatakiwa kuisali ukiwa mwenye haki. Maana hapo unamuomba Mungu akulipizie kisasi. Akianza kulipiza kisasi maisha yako yanachambuliwa moja baada ya mengine. Kuanzia wazee wako mpaka wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom