Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Sijui ni kwa nini, lakini kuna kitu ndani ya roho yangu kinaniambia hapa siyo sehemu salama sana ya kuwekeza. Ila naweza kuwa siko sahihi hata kidogo.
Endelea kukisikiliza mkuu,
Ukimaliza inuka katafute taarifa sahihi kuhusu UTT kisha fanya maamuzi,

Usilete hisia kwenye pesa na uwekezaji, huku ni facts na namba tu
 
Endelea kukisikiliza mkuu,
Ukimaliza inuka katafute taarifa sahihi kuhusu UTT kisha fanya maamuzi,

Usilete hisia kwenye pesa na uwekezaji, huku ni facts na namba tu
Hisia ni lazima hasa kwa mtu kama mimi ninayezijua hisia zangu kutoka na experince. Anyways sina mpango kabisa wa kuwekeza hata senti tano huko kwa sababu sina.
 
Kwa wengi ambao wanahofia juu ya masomo ya mitaji na uwekezaji hawana makosa.Wengi wa vijana iwe wasomi au sio wasomi,bado hawana elimu juu ya masomo ya mitaji na uwekezaji.
Hii kitu ilikuwa na umuhimu wa kuwekwa kwenye mitaala ya shule japo kwa kugusia tu.
Kama ingefanyika hivyo basi hata maneno kama Hisa,Hati fungani na Mirabaha isingekuwa misamiati migumu kwa watanzania.
 
Shida n hawataki kujifunza, wanaleta tu hisia badala ya kuuliza najifunza vipi kuhusu hiki kitu ?
 
Hela yoyote niipatayo more than 50% nawekeza
Yani hiyo UTT ni mfuko wa uwekezaji,ndani yake kuna mifuko kama sita yenye kulenga sehemu tofauti,kuna kwa ajili watoto wako,hati fungani n.k
Sasa kwenye kila mfuko kiwango chake cha chini kuweka na kiwango chake cha faida.
Ila kwa ujumla UTT haina longolongo, usimamizi wa fedha upo vizuri na faida unaipata kweli...
 
Ulifanya jambo jema, endelea kuwekeza
UTT nilidunduliza tu mshahara wangu kwenye mfuko wa liquid,bank nilikopa kwa kutumia mshahara...pesa ya UTT nikatoa yote nikaongeza na mkopo wangu,nimejenga nyumba ya mzee wangu kuzeekea pazuri.
 
Back
Top Bottom