Acha Bangi.Sasa unakula huo ujenzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Bangi.Sasa unakula huo ujenzi?
Ningepata hii akili back thenHongera sana. Kadiri unavyo invest kwa muda mrefu zaidi, ndivyo return inavyokuwa kubwa. Mimi tangu nianze ajira yangu ya kwanza mwaka 2015, niliazimia monthly kuweka zaidi ya asilimia 70 ya mshahara wangu UTT kwa sababu sikuwa na sina muda wa kusimamia biashara actively. Nikatumikia committment yangu kwa uaminifu mkubwa.
Kuna miezi nilikuwa nje ya ajira lakini sikutoa hela yangu UTT. Mwishoni wa mwaka 2023, nilikuwa na milioni 200 kwenye account yangu ya Liquid fund.
January 2024 nikatoa milioni 70 nikanunua kiwanja cha square meter 1900 bunju B chenye foundation ya ujenzi tayari.
Malengo yangu ifikapo mwaka 2030 niwe na hela isiyopungua milioni 700 kwenye account yangu ya UTT liquid + hela yangu ya nssf nitakuwa na kama milioni 800 hivi.
Then nimepanga baada ya hapo kutoa milioni 200 nijenge kwenye hicho kiwanja na hela inayobaki nahamishia mfuko wa bond ili niweze kupata mshahara wangu wa kila mwezi from UTT bila jasho. I want to retire at age 42. Tuendelee kufukuzia malengo mkuu...
Hujachelewa. Endelea kujitafuta. Huyu Mungu ni wa wote atiii.Ningepata hii akili back then
Big up
Itakuwa 800kWakuu kuna mtu wa karibu nyangu kaomba nimuulize swala, ikiwa mtu anazo 80m kwa mwezi anaweza akachukuwa ngapi?
UTT asante
Kuna mutual fund nyengine inaitwa FAIDA FUND.Habari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Inamilikiwa na serikali kupitia Wizara fedhaHivi inamilikiwa na nani? Ilianzishwa lini?
UTT haina mmiliki ila UTT inasimamiwa na Wizara ya Fedha.Nakubaliana na wewe 100%. Kila mtu ana choice yake na anafanya reseach kwa namna yake. Hii UTT nilikuwa naisikia tu ila mwezi uliopita nikaona niingie kwenye website yao (ambayo nayo sikuipenda sana). Nimesoma soma sehemu ya ''about us'' lakini sikuweza kujua ni nani wamiliki/mmiliki; na hisa za ownership (kama zipo) zikoje. Nikadhani labda ni hiki kiingereza changu kibovu, hivyo ngoja niulizie.
Anatambia ujinga huyo! Maumivu anayokumbana mayo kwenye marejesho atakuwa amechoka ile mbaya. Atakuta amerejesha milioni 60 kwa benki!Mbona ni vile vile tu unafaiwa 18M
To cut long story short, unauliza maswali ya kindezi!Asante sana. Ni kampuni ya serikali. Bunge lilihusishwa wakati wa uanzishwaji au ni wizara tu au ni nani hasa? Kwa vifungu gani vya sheria? Board of directors na watendaji wake wakuu wanachaguliwa/kuteuliwa na nani?
UTT ni taasisi inayohusika na ukusanyaji wa mitaji na kuwekeza kwenye low risk areas.Asante sana. Ni kampuni ya serikali. Bunge lilihusishwa wakati wa uanzishwaji au ni wizara tu au ni nani hasa? Kwa vifungu gani vya sheria? Board of directors na watendaji wake wakuu wanachaguliwa/kuteuliwa na nani?
mkuu,Nikweli kabisa ..usije ukashangaa utt mbeleni wakaikopesha selikari ikawa ndo bas tena
Return % katika Bonds za BOT ni ndogo...Kwaiyo unataka kusema kununua bond za serikali ni Bora zaid ya utt
Hongera mkuu,mi nimepambana nimefika 98M now.mfuko ni liquid fund.Kwa mwezi napata faida ya kama 900k au zaidi.Habari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Unamoyo mwanangu Mimi nina saving 20m Nina miaka 25Hongera mkuu,mi nimepambana nimefika 98M now.mfuko ni liquid fund.Kwa mwezi napata faida ya kama 900k au zaidi.
Niko tempted kuitoa na kujeng nyumba za kupangisha ila nahofia kuanza upya savings as it wasn't easy.Nimeanza more than 4 years ago nimepambana kusave kwa machozi jasho na damu.Najinyima haswa.Nyumba ya makazi ninayo ila biashara zilishanipiga mno kipindi cha nyuma.sina nguvu kabisa ya kurudi humo.Bado najitafakari
Miaka 25 umri au tokea umeanza kusaveUnamoyo mwanangu Mimi nina saving 20m Nina miaka 25
Usijali anza mapema utafika mbali,mi ningeanza wakati nna umri wako ningekuwa mbali sana ila hiyo elimu sikuwa nayo, kwa umri wangu najiona nimechelewa.So nakutia moyo usiache ukija kufika uzeeni utafurahiaUnamoyo mwanangu Mimi nina saving 20m Nina miaka 25