Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Ni umri wangu huoMiaka 25 umri au tokea umeanza kusave
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni umri wangu huoMiaka 25 umri au tokea umeanza kusave
Saws kakaUsijali anza mapema utafika mbali,mi ningeanza wakati nna umri wako ningekuwa mbali sana ila hiyo elimu sikuwa nayo, kwa umri wangu najiona nimechelewa.So nakutia moyo usiache ukija kufika uzeeni utafurahia
Upo vzuri kwa umri huo km una saving ya hyo amount syo mbaya,, ulianza lini kuwekeza rasmi mzeeNi umri wangu huo
Nilianza mwaka juzi mkuuUpo vzuri kwa umri huo km una saving ya hyo amount syo mbaya,, ulianza lini kuwekeza rasmi mzee
Daahh safii sana aisee so huu ni mwaka wa 3 upo hapo ni vzurii nataman kujifunza kutoka kwako how you managed to save kiasi hchoNilianza mwaka juzi mkuu
Daahh safii sana aisee so huu ni mwaka wa 3 upo hapo ni vzurii nataman kujifunza kutoka kwako how you managed to save kiasi hcho
Kikubwa nidhamu ya pesa tu ila usijibanie kula na afya Yako maana ukipata tatizo utajikuta unatumia akiba Yako Kwa asilimia kubwaDaahh safii sana aisee so huu ni mwaka wa 3 upo hapo ni vzurii nataman kujifunza kutoka kwako how you managed to save kiasi hcho
Hivi hii Utt ukishajiunga kwa simu unaweza kuweka pesa yako kwenye account ya Utt bila ya kwenda kumalizia usajili physically ofsini kwao na pesa yako ikawa salama?Ndiyo.
Mfano umeanza kudeposit 1M, kila mwezi inaongezeka 1% yake.
Mwezi ufatao… ukawa na 1,001,000\= wanaweka 1% yake. Vivyo hivyo
Yes,, ila kutoa ndio mpk ukakamilisheHivi hii Utt ukishajiunga kwa simu unaweza kuweka pesa yako kwenye account ya Utt bila ya kwenda kumalizia usajili physically ofsini kwao na pesa yako ikawa salama?
Yes,, ila kutoa ndio mpk ukakamilishe
[/QUOTzOkay kuweka kupitia simu kuna charges?Yes,, ila kutoa ndio mpk ukakamilishe
Yes mkuu inawezekana, Lakini pia mifuko imetofautiana terms na conditions
Barikiwa sana kwa maelezo yako mazuri sana🙏Yes mkuu inawezekana, Lakini pia mifuko imetofautiana terms na conditions
Mfano mifuko hii 👇🏻
Jikimu fund
Liquid fund
Umoja fund
Unaweza ukachukua fedha zako muda wowote hata siku moja baada ya kufungua account
Ila mifuko hii
Bond fund
Wekeza maisha fund
Kuna taratibu za tofauti kidogo
Bond fund
Ukishafungua A/C huruhusiwi kutoa pesa mpaka miezi 3-6 ipite kwanza ndo utaweza kutoa pesa zako
Wekeza maisha fund
Ukishafungua A/C huruhusiwi kutoa pesa katika Kipindi cha miaka 10, japo ikisha pita miaka 5 unaweza ukatoa kiasi cha pesa zako, ila kama unataka kutoa zote itabidi usubiri mpaka miaks 10 ipite
Mkuu kuhusu kutoa hela UTT na kujenga nyumab ya kupangisha sikushauri sana coz ni ngumu kupata hiyo 900k per month na uhakikishe vyumba vinajaa wakati wote. Otherwise Jenga logde sehemu iliyochangamka kidogo faida utaipataHongera mkuu,mi nimepambana nimefika 98M now.mfuko ni liquid fund.Kwa mwezi napata faida ya kama 900k au zaidi.
Niko tempted kuitoa na kujeng nyumba za kupangisha ila nahofia kuanza upya savings as it wasn't easy.Nimeanza more than 4 years ago nimepambana kusave kwa machozi jasho na damu.Najinyima haswa.Nyumba ya makazi ninayo ila biashara zilishanipiga mno kipindi cha nyuma.sina nguvu kabisa ya kurudi humo.Bado najitafakari
Hongera sana mzeeHabari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Huko vzr mkuu mwezi wa Feb mwaka huu ulisema uko na 50M,leo wa 7 umefika 60+MUpdate; Safari bado ngumu, till now 60+ml naendelea mdogo mdogo japo maumivu ni makali.
Hii unatoboa,Update; Safari bado ngumu, till now 60+ml naendelea mdogo mdogo japo maumivu ni makali.