Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Usijali anza mapema utafika mbali,mi ningeanza wakati nna umri wako ningekuwa mbali sana ila hiyo elimu sikuwa nayo, kwa umri wangu najiona nimechelewa.So nakutia moyo usiache ukija kufika uzeeni utafurahia
Saws kaka
 
Daahh safii sana aisee so huu ni mwaka wa 3 upo hapo ni vzurii nataman kujifunza kutoka kwako how you managed to save kiasi hcho

Daahh safii sana aisee so huu ni mwaka wa 3 upo hapo ni vzurii nataman kujifunza kutoka kwako how you managed to save kiasi hcho
Kikubwa nidhamu ya pesa tu ila usijibanie kula na afya Yako maana ukipata tatizo utajikuta unatumia akiba Yako Kwa asilimia kubwa
 
Ndiyo.
Mfano umeanza kudeposit 1M, kila mwezi inaongezeka 1% yake.
Mwezi ufatao… ukawa na 1,001,000\= wanaweka 1% yake. Vivyo hivyo
Hivi hii Utt ukishajiunga kwa simu unaweza kuweka pesa yako kwenye account ya Utt bila ya kwenda kumalizia usajili physically ofsini kwao na pesa yako ikawa salama?
 
Hivi hii Utt ukishajiunga kwa simu unaweza kuweka pesa yako kwenye account ya Utt bila ya kwenda kumalizia usajili physically ofsini kwao na pesa yako ikawa salama?
Yes,, ila kutoa ndio mpk ukakamilishe
 
Pia wazoefu watueleze system ya UTT inatoa percent siku za kazi tuu yani (Mon - Fri) au ni siku zote haijalishi ni w/end au public holidays ,Me nna hisi mambo mawili 👇🏻

Moja

Inawezekana system yao haifanyi kazi siku za w/end na public holidays lakini percent ya hizo siku inakuja kuingia siku ya week itakayofuata

Mbili

Inawezekana system yao imelenga kutoa percent kwa siku za kazi tuu yani (Mon-Fri)

Wenye uzoefu zaidi watakuja kutupa mwanga
 
Ikiwa nimeweka fedha zangu na nikahitaji kujiondoa, naweza chukua fedha zangu zote kwa UTT?

Quote Reply
Report Edit
Yes mkuu inawezekana, Lakini pia mifuko imetofautiana terms na conditions
Mfano mifuko hii 👇🏻
Jikimu fund
Liquid fund
Umoja fund

Unaweza ukachukua fedha zako muda wowote hata siku moja baada ya kufungua account

Ila mifuko hii

Bond fund
Wekeza maisha fund

Kuna taratibu za tofauti kidogo

Bond fund
Ukishafungua A/C huruhusiwi kutoa pesa mpaka miezi 3-6 ipite kwanza ndo utaweza kutoa pesa zako

Wekeza maisha fund
Ukishafungua A/C huruhusiwi kutoa pesa katika Kipindi cha miaka 10, japo ikisha pita miaka 5 unaweza ukatoa kiasi cha pesa zako, ila kama unataka kutoa zote itabidi usubiri mpaka miaks 10 ipite
 
Barikiwa sana kwa maelezo yako mazuri sana🙏
 
Hongera mkuu,mi nimepambana nimefika 98M now.mfuko ni liquid fund.Kwa mwezi napata faida ya kama 900k au zaidi.
Niko tempted kuitoa na kujeng nyumba za kupangisha ila nahofia kuanza upya savings as it wasn't easy.Nimeanza more than 4 years ago nimepambana kusave kwa machozi jasho na damu.Najinyima haswa.Nyumba ya makazi ninayo ila biashara zilishanipiga mno kipindi cha nyuma.sina nguvu kabisa ya kurudi humo.Bado najitafakari
Mkuu kuhusu kutoa hela UTT na kujenga nyumab ya kupangisha sikushauri sana coz ni ngumu kupata hiyo 900k per month na uhakikishe vyumba vinajaa wakati wote. Otherwise Jenga logde sehemu iliyochangamka kidogo faida utaipata
 
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Hongera sana mzee
 
Back
Top Bottom