Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Kanyaga twende piga KAZI kiongozi.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Sorry, Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
Wakuu msaada,hivi ukiwa unapokea gawio la kila mwezi kutoka bond fund,je lile ongezeko la riba la kila mwezi utakua unapata pia au?
 
Wakuu msaada,hivi ukiwa unapokea gawio la kila mwezi kutoka bond fund,je lile ongezeko la riba la kila mwezi utakua unapata pia au?
Hapana huta pata gawio ila kutakuw na ongezeko kila mwaka almost 2%
 
Kuna wale matomaso ambao hawaamini kuwa UTT inasimamiwa na serikali, Mh. Rais amesaidia kutoa jibu kwa kumteua mwenyekiti wa Bodi

Kimsingi Rais hawezi kuteua mtu akasimamie kitu kisichojulikana serikalini
Screenshot_20240806_222454_Instagram.jpg
 
Kuna wale matomaso ambao hawaamini kuwa UTT inasimamiwa na serikali, Mh. Rais amesaidia kutoa jibu kwa kumteua mwenyekiti wa Bodi

Kimsingi Rais hawezi kuteua mtu akasimamie kitu kisichojulikana serikaliniView attachment 3064413
Ila huyo professor kuwa mwenywkiti wa bodi simuamini kabisa, ametumbuliwa tumbuliwa sana enzi za Magu kwa kashfa za mipigo
 
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Leo ni 1 January 2025. Vipi malengo yametimia kama ulivyotarajia? Nini tunaweza kujifunza kutoma kwako? Mungu atuongoze kwenye mwaka huu mpya
 
Kununua viwanja na kuwekeza utt kipi ni bora? Na kwanini umesema bora hicho
 
Kununua viwanja na kuwekeza utt kipi ni bora? Na kwanini umesema bora hicho
 
UMri wako miaka mingapi? Unasave ifike 65 m kwa ajili yako au? Utaishi lini maisha yako?
 
Leo ni 1 January 2025. Vipi malengo yametimia kama ulivyotarajia? Nini tunaweza kujifunza kutoma kwako? Mungu atuongoze kwenye mwaka huu mpya
Mkuu habari, nilitoa 60ml nikatupia kwenye hisa za CRDB bank. Kuna Uzi niliuleta humu waweza check. Katika speculations na Taarifa nilizopata nimeona CRDB itatoa return nzuri kuliko UTT. Ila nimebaki na akiba ya 8.2ml nazo nataka nikanunue hisa za Nicol coz nazo zitakuwa vizuri mwaka huu
 
UMri wako miaka mingapi? Unasave ifike 65 m kwa ajili yako au? Utaishi lini maisha yako?
Mbali na savings ila maisha yanaenda kama kawa. Now 36years, lengo nijichange more nifanye mengine nje ya maisha ya ajira
 
Kununua viwanja na kuwekeza utt kipi ni bora? Na kwanini umesema bora hicho
Value for money inategemeana na inflation na risk appetite yako. Zote ni long term investments. Ila kwa kiwanja inabidi uangalie other factors kama eneo liwe prime for at least 4 to 5 years to come, kusiwe na migogoro, bondeni, squatter etc hapo faida utaiona
 
Back
Top Bottom