Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fund bond riba yake ngapi mfano nimeweka 10M ntakuwa nakunja ngapi kwa mwzi/mwakaHapana huta pata gawio ila kutakuw na ongezeko kila mwaka almost 2%
Ila huyo professor kuwa mwenywkiti wa bodi simuamini kabisa, ametumbuliwa tumbuliwa sana enzi za Magu kwa kashfa za mipigoKuna wale matomaso ambao hawaamini kuwa UTT inasimamiwa na serikali, Mh. Rais amesaidia kutoa jibu kwa kumteua mwenyekiti wa Bodi
Kimsingi Rais hawezi kuteua mtu akasimamie kitu kisichojulikana serikaliniView attachment 3064413
Leo ni 1 January 2025. Vipi malengo yametimia kama ulivyotarajia? Nini tunaweza kujifunza kutoma kwako? Mungu atuongoze kwenye mwaka huu mpyaHabari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Alishazitoa sahv yuko crdbLeo ni 1 January 2025. Vipi malengo yametimia kama ulivyotarajia? Nini tunaweza kujifunza kutoma kwako? Mungu atuongoze kwenye mwaka huu mpya
Mkuu habari, nilitoa 60ml nikatupia kwenye hisa za CRDB bank. Kuna Uzi niliuleta humu waweza check. Katika speculations na Taarifa nilizopata nimeona CRDB itatoa return nzuri kuliko UTT. Ila nimebaki na akiba ya 8.2ml nazo nataka nikanunue hisa za Nicol coz nazo zitakuwa vizuri mwaka huuLeo ni 1 January 2025. Vipi malengo yametimia kama ulivyotarajia? Nini tunaweza kujifunza kutoma kwako? Mungu atuongoze kwenye mwaka huu mpya
UMri unaruhusuMbali na savings ila maisha yanaenda kama kawa. Now 36years, lengo nijichange more nifanye mengine nje ya maisha ya ajira
Value for money inategemeana na inflation na risk appetite yako. Zote ni long term investments. Ila kwa kiwanja inabidi uangalie other factors kama eneo liwe prime for at least 4 to 5 years to come, kusiwe na migogoro, bondeni, squatter etc hapo faida utaionaKununua viwanja na kuwekeza utt kipi ni bora? Na kwanini umesema bora hicho