Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Mkuu usiwavunje moyo vijana, me nna 20m+ UTT lakini nafany saving kwa future plan nliyonayoUtt below 50miiion ni kupoteza muda ,labda kama unafanya saving
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiwavunje moyo vijana, me nna 20m+ UTT lakini nafany saving kwa future plan nliyonayoUtt below 50miiion ni kupoteza muda ,labda kama unafanya saving
Me naona UTT, viwanja inabidi uwe na extra mind kabla ya kufanya maamuzi ya kununua, me nlianza kununua viwanja kwenye hzi real estate companiesKununua viwanja na kuwekeza utt kipi ni bora? Na kwanini umesema bora hicho
Hongera sana pambana u dabo kabisa kitu kisome 100. Kisha kama uko Bond uanze uanze kula 900k za kila Mwez huku mtaji Unapanda tuHabari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Dah safi hiyo inaitwa "kujilipa kwanza mwenye kabla ya mambo mengine"Kila kipato nipatacho natenga more za 50% nilianza miaka mitano nyuma
Ulitumia hiyo 22m ya UTT kama collateral au?mie nilidunduliza nikafika mil 22,nikaenda bank nikachukua loan ya 40m nikaweka kwenye ujenzi.
Wateja wa UTT ni tasisi na watu binafsi na UTT yenyewe hizo pesa inawekeza kwenye mabank na Govt Bonds. Custodian wa UTT ni CRDB bankMkuu kwani mimi napinga uwepo wake? Wala sipingi kuwa kuna watu wameshaweka fedha na kutoa. Nimesema tu kwangu mimi, ningekuwa na fedha siwezi kuweka sehemu kama hiyo.
Kumbuka ina 20 plus years and itsWatu watakuja kulia mno na hii kitu .... Maana inavyopigiwa debe
Yote sababu ya maisha ya kujikimu tu nayoishi, ujue mfumo wetu wa maisha ni wa kujikimu so mtu kila kidogk anachokioata anawasiwasi nacho na pia kimfumo tumefundishwa biashara ni za kununua vitu na kuuza au kutoa huduma.. hatujui kuna biashara ya kuwekeza fedha kupata fedha.. (hisa na hati fungani)Watanganyika kila jambo wanahisi ni utapeli tu, iruhusu akili yako kujifunza kila uchwao.
LitaongezekA kwa asilimia. Chache nahis ni moja au mbili Kwa sababu faida yako wewe unaitoa ( ushahidi niWakuu msaada,hivi ukiwa unapokea gawio la kila mwezi kutoka bond fund,je lile ongezeko la riba la kila mwezi utakua unapata pia au?
Yote sababu ya maisha ya kujikimu tu nayoishi, ujue mfumo wetu wa maisha ni wa kujikimu so mtu kila kidogk anachokioata anawasiwasi nacho na pia kimfumo tumefundishwa biashara ni za kununua vitu na kuuza au kutoa huduma.. hatujui kuna biashara ya kuwekeza fedha kupata fedha.. (hisa na hati fungani)
Ndo maana huyo huyo mwenye wasiwasi na UTT utashangaa anapigwa kwenye miradi ya pyramids schemes kama Mr. Kuku au yale mambo ya wekeza tukulimie tukutafutie masoko
Pesa inakuwa ndugu yangu with compounding effect. Inategemea lengo lako ni nini? Kama mtu anataka hela za haraka haraka, UTT sio mahali pake. Ila kama mtu ana long term perspective, mifuko ya uwekezaji inamtoa. 10 years and above unaona matokeo makubwa. Wengi humu, nikiwemo mimi, ni mfanoUtt below 50miiion ni kupoteza muda ,labda kama unafanya saving
Safi. Ni Malengo tu. Mimi nimejipa miaka 10 mengine ijayo. Nawekeza kiasi kila mwezi bila kutoa wala kuacha. Nataka kuona matokeo wakati huo ukifika 2035. Mungu atusaidie katika safari zetuMkuu habari, nilitoa 60ml nikatupia kwenye hisa za CRDB bank. Kuna Uzi niliuleta humu waweza check. Katika speculations na Taarifa nilizopata nimeona CRDB itatoa return nzuri kuliko UTT. Ila nimebaki na akiba ya 8.2ml nazo nataka nikanunue hisa za Nicol coz nazo zitakuwa vizuri mwaka huu
Natamani kujua CRDB wanavyohusika na UTT maana nahisi kuna baadhi ya wafanyakazi kwa baadhi ya matawi hawana uelewa na namna CRDB inahusika na UTT. Ningependa kujua kama:-Wateja wa UTT ni tasisi na watu binafsi na UTT yenyewe hizo pesa inawekeza kwenye mabank na Govt Bonds. Custodian wa UTT ni CRDB bank
Kama linapokuja swala la kununua hisa za makampuni mfano CRDB au Cocacola na TBL huna hofu basi hupaswi kuwa na hofu na UTT maana ndio kitu kilekile ndio
Kuna risk moja tu ambayo itapelekea UTT kufilisika na kupoteza pesa zote nayo ni Nchi kufilisika .. sasa linapokuja swala la nchi kufilisika haijalishi pesa yako umeiwekeza wapi.. itapotea tu.. reference ni venezuela walipo default na zimbabwe.
Ukiona kuna biashara ambayo ili ife inabidi inchi ifilisike .. that is the highest bussiness security you will ever get kwenye bussiness
Mwisho jifunze "FIAT MONEY" ndio utajua kwa nini Mutual Funds mfano wa UTT zipo
Ujenzi wa nini?mie nilidunduliza nikafika mil 22,nikaenda bank nikachukua loan ya 40m nikaweka kwenye ujenzi.
Natamani kujua CRDB wanavyohusika na UTT maana nahisi kuna baadhi ya wafanyakazi kwa baadhi ya matawi hawana uelewa na namna CRDB inahusika na UTT. Ningependa kujua kama:-
1. Naweza kufungua akaunti ya UTT kwenye branch yoyote ya CRDB?
2. Naweza kuweka na kutoa akiba zangu za UTT kupitia branch yoyote ya CRDB?
3. Branch zote za CRDB nitakuta form za UTT? (Nafahamu kuwa registration ya online ya UTT haikamiliki bila kufika ofisini)
Kama una uelewe na hili tafadhali
Hii imekaaje?mie nilidunduliza nikafika mil 22,nikaenda bank nikachukua loan ya 40m nikaweka kwenye ujenzi.
Niliuliza kwenye Uzi flani je kiwango cha kuwekeza huko utt ni shingapi ikawa kama fumbo!
Niliuliza kuhusu hili nikaambiwa unaweza kupewa only 75% ya pesa yako iliyoko UTT. Mbona wewe ulichukua zaidi ya 100% ya pesa yako?H
Hii imekaaje?