Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
- Thread starter
- #61
Mbona hujibu PM yangu sasa Preta???
ayiii Dena....nadhani kuna jam....ngoja nikadelete PM ya Paka Mweusi.....nimekukosajeeeee.....
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hujibu PM yangu sasa Preta???
ayiii Dena....nadhani kuna jam....ngoja nikadelete PM ya Paka Mweusi.....nimekukosajeeeee.....
Acha uoga kijanadah...nilikuwa njian kuja....ghafla nikapata dharura ikanilazimu kurudi kibaruani. ila nimeona mafanikio ya kikao na mikakati....
Hahahahahaaa St. Paka Mweusi Pm yangu ni km dhahabu kwa wadada so hata umshauri vipi Preta hataifuta afterall hana uwezo wakufuta PM za admin
Teh wale jamaa hawakomi tuHa ha ha ha kwani yeye amekuwa dereva wa bodaboda wale madereva wamezoea kuresti ini pisi.
Acha uoga kijana
Uoga wa nini tena mkuu
Maumivu ya kichwa huanza pooole pole!!!!!