NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
Kwa NSSF si sahihi kusema moja kwa moja kwamba utaongezewa asilimia fulani kwa sababu fedha imekaa miaka 4. Kiasi cha mafao kinategemea aina ya mafao na hesabu za NSSF, si “riba ya kawaida” kama ya benki.

Kwa hiyo kama statement inaonyesha TSh 24 milioni, ni bora uombe NSSF wakupe breakdown rasmi ya mafao kabla ya kudhani atalipwa 24M + riba.
 
Watakupa hiyo hiyo 24. Hujatimiza miezi 66, vinginevyo ungesubiri ufike 55 upewe nusu halafu uingizwe kwenye pensheni.
 
Yani. Eni EsEs F ninkero jamani ..nimeomba pesa since May mpaka leo hii bado malipo yako pending...naona mwaka ukiisha sijapaya pesa yangu ..taratibu zote nimefuata kila hatua inachukua mwezi mzima kukamilika..niliambiwa bila kuwapa hela wahusika sitoboi na kweli mwenzangu alimpa kishoka 10 percent within 3 weeks kapaata hela yake..
 
Sasa na wewe si utoe 10% mzigo uingie
 
Unaonekana wewe uliombea kwenye ofisi za nssf za majiji kama dar es salaam. Mim niliombea Ilala ilikaa sana. Walipo nirudishia nibadilishe bank account, sikufanya makaosa nikabadilisha ofisi ya nssf nikapeleka mkoan, nika update ofisi ya mkoani uko mbali na dar es salaam. imetumia siku kumi, kutoka claim processing mpaka Payment.. Kwenye maofisi ya majiji wana tamaa
 
Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
Kwahizo hela kama uliwekeza vizuri kwenye mshahara, huko ndio kuna faida, kwenye NSSF jiandae kupigwa za uso na hizo 24m ukuzipata katoe sadaka ya shukrani.
 
Hatimae nilifanikiwa kupata ..baada ya kusubir klzaidi ya miezi 6
 
Sasa na wewe si utoe 10% mzigo uingie
Sikutoa mzigo na nimepata hela yangu yooote ..japo kwa kuchelewa..sieezi toa pesa yangu niliyoisotea kumpa tu aliyeko kazini while mimi nipo mtaani najikongoja kubust biashara yangu
 
Back
Top Bottom