mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Umesoma zamani sana mkuu but history haijabadilika maybe walimu tu.. 2005-08 chini ya msasa, mbaga tukagraduate na zuma.!!! cant forget the view of kitintaleWana Nsumba mpo?
Nilikuwa Nsumba Sec toka 1981-1984!
It was nice experience and great school ever attended!Walimu wetu wakina Michapo,Bia ,Kikuli na wengineo.Mshikaji ,Mdundo etc.Bila kumsahau Mama Manyanda!Na Mtera vile vile
Mgoha alipoingia kuwa Headmaster aliibadilisha shule kidogo!wakati mzuri ulikuwa jioni,kwenda ziwani kuoga etc.Bila kusahau Visiting-Nganza au Bwiru wakati wa baadhi ya Jumapili!Oh na Disco vile vile siku maalum kati ya Nsumba au Bwiru Girls!
Umesoma zamani sana mkuu but history haijabadilika maybe walimu tu.. 2005-08 chini ya msasa, mbaga tukagraduate na zuma.!!! cant forget the view of kitintale

Mie nilikuwa hapo 1999-2002 ,tulimkuta Kibona ndo anaelekea kuondoka badae akaja Msasa.Advance ilianzishwa pale nikiwa Form three kama kumbukumbu zangu zitakuwa zinasoma sawa Enzi hizo Disco tulikuwa tunayarudi na Bwiru girls baada ya advance kuanzishwa advance wengi walikuwa na mademu wao pale Nganza na hiyo ikasababisha mahusiano kati ya Nganza na Nsumba yakarudi ndipo hapo tukaanza pia kucheza Nganza.
#Nsumbanians mpoo??ebana hapo ni bonge la shulee nimepita hapo 2009_2011 Advance Hgl dah ukifika nsumba ukashindwa kuingia Chuo kikuu jilaumu mwenyewe!!tumewaacha kina madam hadija,,chande,Headmastr zakayo,,sec master Mwakisimba!!,,wakongwe kina Matov pcb
Wale ngedere kitintale vip?swea je??tumeruka madisco vumbi kinoma swea,,vile vidaga vidoogo vya kulia ugali tulkua tunaitaje vile???( fuluu)
Maembe kule mitaa ya nyamalango??tumepiga kinoma hahahaa
Jogging asubuh hadi nganza palee....
Mabweni braza felix,,mkwawa ,,mengi,,mkapa,,sokoine hahaha duuh
I will always remember NSUMBA SEC SCHOOL!!!
Wana Nsumba mpo?
Nilikuwa Nsumba Sec toka 1981-1984!
It was nice experience and great school ever attended!Walimu wetu wakina Michapo,Bia ,Kikuli na wengineo.Mshikaji ,Mdundo etc.Bila kumsahau Mama Manyanda!Na Mtera vile vile
Mgoha alipoingia kuwa Headmaster aliibadilisha shule kidogo!wakati mzuri ulikuwa jioni,kwenda ziwani kuoga etc.Bila kusahau Visiting-Nganza au Bwiru wakati wa baadhi ya Jumapili!Oh na Disco vile vile siku maalum kati ya Nsumba au Bwiru Girls!
Tupeana fresh memories kama uliattend Nsumba miaka hiyo!
Wana Nsumba mpo?
Nilikuwa Nsumba Sec toka 1981-1984!
It was nice experience and great school ever attended!Walimu wetu wakina Michapo,Bia ,Kikuli na wengineo.Mshikaji ,Mdundo etc.Bila kumsahau Mama Manyanda!Na Mtera vile vile
Mgoha alipoingia kuwa Headmaster aliibadilisha shule kidogo!wakati mzuri ulikuwa jioni,kwenda ziwani kuoga etc.Bila kusahau Visiting-Nganza au Bwiru wakati wa baadhi ya Jumapili!Oh na Disco vile vile siku maalum kati ya Nsumba au Bwiru Girls!
Tupeana fresh memories kama uliattend Nsumba miaka hiyo!
Umesoma zamani sana mkuu but history haijabadilika maybe walimu tu.. 2005-08 chini ya msasa, mbaga tukagraduate na zuma.!!! cant forget the view of kitintale
Daaah. Nimesoma nganza. Nakumbuka tulikuwa tukienda disco Bwiru boys nsumba wanakasirikaaa.
Tulikuwa tunawaita manyani......those memories. Dah
Afu wewe utakuwa ntunzima wa zamani sana
Km sikosei kuna kipindi pia mlikuja sumve high school.
We jamaa hukuwa member wa top layer kweli kijiwe pale mbele ya brother felix! Afu nahic ka wewe ndo ulivunja notice-board na kuchana matokeo ya mock, ha ha ha am just kiding but ni moja ya tukio lililomake headline sana kipindi 2namaliza pale 2008 mpaka tukaletewa police cku tunamalizia mtihani wa necta ili tuondoke fasta chini ya uongoz wa Mr.Xuma.
Kulijengwa mabweni mengine? Ndo yakaitwa Mkapa na Mengi? Au yalibadilishwa majina yale ya zamani kama Mondlane...:biggrin:#Nsumbanians mpoo??ebana hapo ni bonge la shulee nimepita hapo 2009_2011 Advance Hgl dah ukifika nsumba ukashindwa kuingia Chuo kikuu jilaumu mwenyewe!!tumewaacha kina madam hadija,,chande,Headmastr zakayo,,sec master Mwakisimba!!,,wakongwe kina Matov pcb