Hello Wana Nsumba sekodari 1981 to 1984.
Habari zenu.
Mimi naitwa Remigius Mushenga (shuleni nilijulikana kwa jina la Lwizaki)
Bweni langu lilikuwa Lumumba chumba 3. Jamani Nsumba ilikuwa Nsumba kweli kweli.
Mnamkumbuka jamaa 1 alikuwa anaitwa Anko akiwa mlemavu wa mkono. Alikuwa gangwe kweli.
Mnakumbuka akina Maendeka, Nashoni, Mafuru nk . Walikuwa senior kwetu.
Sisi tulikuwa akina Maendeleo Lufurisha, Jackson Boniface, Deo Max.
Mnawakumbuka walimu:
Watoto, Headmaster Kibona, Kikuli, alikuwepo mwl akitaniwa kama Kibororonyi, Biye mzee wa Paper chromatograph (chemistry)
Manyanda bila kumsahau headmaster wetu Mtera.
Mnakumbuka mradi wa Nguruwe "Kila leo" Mnakumbuka mpishi aliitwa Pima?
Karibuni Mkoani Pwani, it is a great time to have this moment to meet on this platform.