Nsumba Secondary School!-Mwanza

Nsumba Secondary School!-Mwanza

yeah sumve tulikuja kwenye michezo.... enzi hizo girls ndo wapo boarding, sijui siku hizi!!! tuliharibu gari makusudi ili tulale uko, nakumbuka night yake ilikua balaa.... tuliamshwa asubuh asubh kurud shulen kwetu lol!!!!

nakumbuka sana enzi hizo, halafu mliwekwa kulala mbali na mabweni yetu......kuna wakati nilisikia wamefanya kuwa chuo cha ualimu km ilivyokuwa zamani.
 
Nakumbuka ndoo 25 za morumu za vernacular speakers...
Kuna dogo mmoja alikuwa nyuma yetu jina lake la kwanza lilikuwa ni moja na HM nusura avunje mguu kwenye chimbo!!!

Moramu ilikuwa ni balaa jamani.
 
tulibeba sana enzi za double D tukamwita make sure that,Mzee Biye alkuwa anapima kabisa,
 
#Nsumbanians mpoo??ebana hapo ni bonge la shulee nimepita hapo 2009_2011 Advance Hgl dah ukifika nsumba ukashindwa kuingia Chuo kikuu jilaumu mwenyewe!!tumewaacha kina madam hadija,,chande,Headmastr zakayo,,sec master Mwakisimba!!,,wakongwe kina Matov pcb
Wale ngedere kitintale vip?swea je??tumeruka madisco vumbi kinoma swea,,vile vidaga vidoogo vya kulia ugali tulkua tunaitaje vile???( fuluu)
Maembe kule mitaa ya nyamalango??tumepiga kinoma hahahaa
Jogging asubuh hadi nganza palee....

Mabweni braza felix,,mkwawa ,,mengi,,mkapa,,sokoine hahaha duuh
I will always remember NSUMBA SEC SCHOOL!!!

Teh teh teh mzee wa Kitintale, kipindi hicho tulikula sana maparachichi ya kwa mwl. Lung'wecha. Mzee Matovu wa mobility ha ha ha ha.
 
Oooh. My young Excel.....

hiyo 1999, nakumbuka bro wangu alikuwa anatokea shule flani hivi ya sec mkoani, basi nilikuwa namuona kama mfalme!
Every now nilikuwa namganda anifundishe kusoma, seriously nilijua kusoma na kuandika within one month!
Basi nilikuwa nikienda shule nakuwa kama boss flani hivi, sichapwi wala nini!:lol::lol:
 
Kaka wilbert1974 acha hizo kaka
Unakumbuka wizi wa vijiko sweya beach cafe
 
Kuli kuwa na Mwalimu anaitwa Jesus rip duu jamaa alikuwa bonge LA mwalimu
 
We jamaa hukuwa member wa top layer kweli kijiwe pale mbele ya brother felix! Afu nahic ka wewe ndo ulivunja notice-board na kuchana matokeo ya mock, ha ha ha am just kiding but ni moja ya tukio lililomake headline sana kipindi 2namaliza pale 2008 mpaka tukaletewa police cku tunamalizia mtihani wa necta ili tuondoke fasta chini ya uongoz wa Mr.Xuma.
Daahh!!

Umenikumbusha sana, kipindi hicho nipo form one. Hali ilikuwa tete sana, maana form 4 walipewa masaa kusepa baada ya kumaliza pepa
 
Administration
 

Attachments

  • IMG_5719.JPG
    IMG_5719.JPG
    13.6 KB · Views: 121
Back
Top Bottom