Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
hahaha bweni la mkapa ilkua daika 0 tu kutorokea Swea,,nakumbuka by 2009 nafika nsumba advance yalkuepo tayar hayo mabweni mawili la mkapa na lile jingne kwa juu yake (nmelisahau jina) yenye structure tofauti na yale mengine ya juu[emoji3]Kulijengwa mabweni mengine? Ndo yakaitwa Mkapa na Mengi? Au yalibadilishwa majina yale ya zamani kama Mondlane...[emoji3]
Hahaha anakwambia wataalam mobility muhimu[emoji3] [emoji3] ,pindi zake za Alfajiri sa 10 unazikumbuka?dah physical geog + climatologyTeh teh teh mzee wa Kitintale, kipindi hicho tulikula sana maparachichi ya kwa mwl. Lung'wecha. Mzee Matovu wa mobility ha ha ha ha.
Hahahahaaa.....ili uonekane smart.Kama tulvokua tunawaita wadudu wa kwenye yale maharage yetu jina la nganza [emoji3] [emoji3] !anyway nlkua nkitaka kuja misa jpil pale nganza siku hio lazma ninyooshe nguo[emoji6] [emoji6]
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
Sema mwaka.labda class mates wake wapo humu.Dah!
Mdingi wangu kasoma Nsumba...ila ni zamani sana.
Wanafunzi mkawa na mademu? Enzi zetu (1980s) tulikuwa na kitu kinaitwa NATO No Action Talks Only.Mie nilikuwa hapo 1999-2002 ,tulimkuta Kibona ndo anaelekea kuondoka badae akaja Msasa.Advance ilianzishwa pale nikiwa Form three kama kumbukumbu zangu zitakuwa zinasoma sawa Enzi hizo Disco tulikuwa tunayarudi na Bwiru girls baada ya advance kuanzishwa advance wengi walikuwa na mademu wao pale Nganza na hiyo ikasababisha mahusiano kati ya Nganza na Nsumba yakarudi ndipo hapo tukaanza pia kucheza Nganza.
Dmt Kubuteba,alinifundisha form three na four wakati anaanza kazi,nilimkuta mwaka wa pili UDSM.Nakumbuka O' level students ikifika Ijumaa wanakuja kutuomba A' level students wafue uniforms zetu kumbe Jumamosi na Jumapili wanaenda nazo kuzulula mijini, wanaendanazo makanisani especially Nganza Secondary ili waonekane na wao ni A' level students. Nsumba boys sintasahau. Binafsi nilikua nachukizwa sana na adhabu za kukomoa na kutisha alizokua anazitoa Zakayo na Kobuteba.
Wanafunzi mkawa na mademu? Enzi zetu (1980s) tulikuwa na kitu kinaitwa NATO No Action Talks Only.Mie nilikuwa hapo 1999-2002 ,tulimkuta Kibona ndo anaelekea kuondoka badae akaja Msasa.Advance ilianzishwa pale nikiwa Form three kama kumbukumbu zangu zitakuwa zinasoma sawa Enzi hizo Disco tulikuwa tunayarudi na Bwiru girls baada ya advance kuanzishwa advance wengi walikuwa na mademu wao pale Nganza na hiyo ikasababisha mahusiano kati ya Nganza na Nsumba yakarudi ndipo hapo tukaanza pia kucheza Nganza.
Kweli box 1212.Adam Ngobela bado yupo? Wakati wetu box ilikuwa 1212 Mwanza.
Huyu mm simkumbukiKweli box 1212.
Enzi Hizo barua ndio mawasiliano makuu.
Mwl Machimu wa Maths yuko wapi?
Oyooo 2006-2009 . Mwl. Machimu, mbulwa, and kagua walinijengea uwezo mkubwa sana na wa biology nani vile? Sir Chande respect to you as well[HASHTAG]#Nsumbanians[/HASHTAG] mpoo??ebana hapo ni bonge la shulee nimepita hapo 2009_2011 Advance Hgl dah ukifika nsumba ukashindwa kuingia Chuo kikuu jilaumu mwenyewe!!tumewaacha kina madam hadija,,chande,Headmastr zakayo,,sec master Mwakisimba!!,,wakongwe kina Matov pcb
Wale ngedere kitintale vip?swea je??tumeruka madisco vumbi kinoma swea,,vile vidaga vidoogo vya kulia ugali tulkua tunaitaje vile???( fuluu)
Maembe kule mitaa ya nyamalango??tumepiga kinoma hahahaa
Jogging asubuh hadi nganza palee....
Mabweni braza felix,,mkwawa ,,mengi,,mkapa,,sokoine hahaha duuh
I will always remember NSUMBA SEC SCHOOL!!!
Machimu a.k.a blaablaa, amenipigisha phyz ya form one asee kabla hajastaafu.Oyooo 2006-2009 . Mwl. Machimu, mbulwa, and kagua walinijengea uwezo mkubwa sana na wa biology nani vile? Sir Chande respect to you as well
Hahaha naikumbuka vizuri sana hiobsiku daah![emoji23] ebana kiliwaka balaa!mpaka mamwela wakaja kutulipua na baruti zaoMachimu a.k.a blaablaa, amenipigisha phyz ya form one asee kabla hajastaafu.
Chande enzi zetu tulikuwa tunampenda sana, kuna siku ilikuwa fainali ya Kombe la Mkolani ambalo sisi pia tulipata nafasi ya kushiriki, na umahiri wetu tukatinga hadi fainali.
Fainali waliipanga kuchezewa uwanja wa nyegezi karibu na stand ya Bus, tulipoenda ikaja ikatokea vurugu wanafunzi tuakaharibu daladala zinazoenda vyegezi stand na Buhongwa kwa kuvunjaa vioo.
Walimu wetu akiwemo Chande wakaja kukamatwa na kupelekwa kituoni.
Kesho yake ilikuwa siku ya jumamosi tuliamua kugoma kula na kudai hadi walimu wetu waachiwe. Taarifa zilipowafikia kituoni waliwaachia walimu na Amani ikarejea shuleni
Second Master kaachiwa nani?Mwakisimba sasa ni headmaster shule moja hapa town
Post sent using JamiiForums mobile app
Yamesha pita ndugu. Samehe saba mara sabini na isitoshe alikuwa anatimiza majukumu yakeJogging ilikua inanikela sanaaaaa. Kobuteba will be cursed for what he did me.