Nsumba Secondary School!-Mwanza

My school 2000~2003.... Enzi za Msasa, Makson, Kagua, Mgambo, Kengele.... Etc

Room 6, Sokoine!.... Enzi hizo Daniel Oduogi ni GS.... Hakuna kuspeak kiswahili



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma Nsumba ila hawa Braza angu kapita Hapo....Aseeh miaka ya 2005 km sikosei Vijana waifanya fujo hapo wapongo wakawadaka wa kutosha tu nimeingia BUTIMBA Magereza nakuta Vijana wamesweka mpaka Huruma....

KIMEO CHANGU
 
Enzi za mgomo huo mwaka huo nami nilikuwepo hapo Nsumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma Nsumba ila hawa Braza angu kapita Hapo....Aseeh miaka ya 2005 km sikosei Vijana waifanya fujo hapo wapongo wakawadaka wa kutosha tu nimeingia BUTIMBA Magereza nakuta Vijana wamesweka mpaka Huruma....

KIMEO CHANGU
Kweli hilo tukio lilitokea, nilipoenda kuanza shule nilikuta athari zake hasa kwenye uharibifu wa majengo hususani madirisha kuvunjwa vioo
 
 
Hello Wana Nsumba sekodari 1981 to 1984.

Habari zenu.

Mimi naitwa Remigius Mushenga (shuleni nilijulikana kwa jina la Lwizaki)

Bweni langu lilikuwa Lumumba chumba 3. Jamani Nsumba ilikuwa Nsumba kweli kweli.

Mnamkumbuka jamaa 1 alikuwa anaitwa Anko akiwa mlemavu wa mkono. Alikuwa gangwe kweli.
Mnakumbuka akina Maendeka, Nashoni, Mafuru nk . Walikuwa senior kwetu.

Sisi tulikuwa akina Maendeleo Lufurisha, Jackson Boniface, Deo Max.

Mnawakumbuka walimu:
Watoto, Headmaster Kibona, Kikuli, alikuwepo mwl akitaniwa kama Kibororonyi, Biye mzee wa Paper chromatograph (chemistry)
Manyanda bila kumsahau headmaster wetu Mtera.
Mnakumbuka mradi wa Nguruwe "Kila leo" Mnakumbuka mpishi aliitwa Pima?

Karibuni Mkoani Pwani, it is a great time to have this moment to meet on this platform.
 
Mnamkumbuka Kamote?
Alikuwa headmistress wa Nganza.
Je mnakumbuka Mgomo wa chakula uliopelekea FFU kuvamia shule usiku, wanafunzi tulikimbia hadi kwenye ufukwe wa ziwa tulikokuwa tukichota maji.
 
Lilikuwa linaitwa Kambarage
 
Nilikuwa bado sijazaliwa aisee enzi unaondoka Nsumba[emoji2][emoji2][emoji2].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…