SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Hapana kwani wewe thio single kakaSingle mom ni laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kwani wewe thio single kakaSingle mom ni laana
ngoja nitadondoshaDondosha namba PM
mungu amesikia ombi lako 😀nanacho jibu kimoyo moyo hapa we acha tu
unauliza kofi polisiMiaka imezidi au?
Vya bure vina gharamaMwache mwethako ale vya bure
Weeeeee usinambiemungu amesikia ombi lako 😀
KivipiVya bure vina gharama
Una mia ya karibu hapo?Weeeeee usinambie
Abort missionSIFA ZA NINAEMTAFUTA
umri miaka isizidi 33 isipungue 25
I repeat again, abort mission.Kama ana mtoto wasizidi wawili
we mbona kama mgangaUna mia ya karibu hapo?
Single maza huwa hawanaga upendo wa kweli. Anachotaka akupe mzigo wa kulea bao la baba wa mtoto wakeKivipi
Ni kweli ila sio woteSingle maza huwa hawanaga upendi wa kweli. Abachotaka akupe mzigo wa kulea bao la baba wa mtoto wake
Alafu Mimi pm unanibania 🤣🤣🤣ngoja nitadondosha
Issue sio umri Jamaa ana upwiru km vipi we mtunuku tu usiogope Bangoumri umenikosesha mume daaah
Mamboo acha kumtishq hujui bahati ya mtu.Mkuu taratibu usije beba crush wa ntu
nmekutafta sana weweMkuu taratibu usije beba crush wa ntu
unantongoza kwenye uzi wawatu,, anzisha wako😂😂😂Alafu Mimi pm unanibania 🤣🤣🤣
Sura baba sura inasikitisha mtot anaweza zimiaAlafu Mimi pm unanibania 🤣🤣🤣
Njoo pmnmekutafta sana wewe