Pre GE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hv katika huu mnyukano Kati ya FAM v TAL, MDUDE NYANGALI CHADEMA yu upande gani???
 
Na Kamati Kuu ya Chadema ikumfuta Lissu uwanachama kwa makosa hayo hayo msije humu kuloloma kaonewa. Msumeno unakata kwa kwenda mbele na kurudi nyuma!
Hata kama mtu una akili ndogo, hiyo hiyo ndogo uitumie kwa umakini.

Ntobi amesimamishwa kutokana na lugha za matusi, Lisu hajawahi kumtukana mtu yeyote.

Wewe inaonekana hujaelewa hata kwa nini Ntobi amesimamishwa!!! Pole sana kwa uelewa mdogo. Rudia tena kuisoma mada, huenda utaelewa sababu za Ntobi kusimamishwa.
 
Chadema imejionyesha ni zaidi ya shithole kabisa, hawa sio wakuwapa nchi,sio lisu au DJ bora CCM waendelee tuu
 
Chadema imejionyesha ni zaidi ya shithole kabisa, hawa sio wakuwapa nchi,sio lisu au DJ bora CCM waendelee
 
Safi, bado mbowe...haiwezekani mtu ang'ang'anie madaraka kwa zaidi ya miaka 20 halafu mnamuangalia tuu!
 
Ahahahahaha!
 
Lissu kakosea nn ukilinganisha na Ntobi? Mambo yaliyofanywa na Ntobi yalikuwa yanamtia aibu mpaka mbowe, badala ya kujenga hoja yeye ni kejeli na kudhalilisha watu
 
Hii ni mbaya zaidi kwa Lissu...Tujiandae kwa Upande wapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…