Pre GE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

Pre GE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao jamaa wameweka msingi, hiyo hukumu itakuwa rejea kwa maamuzi ya kinidhamu hadi ngazi ya Taifa.. msije mkaanza kulia
 
Hao jamaa wameweka msingi, hiyo hukumu itakuwa rejea kwa maamuzi ya kinidhamu hadi ngazi ya Taifa.. msije mkaanza kulia
Jamaa wame-set standard.

Pamoja na hayo ; Nidhamu maana yake ni nini kwa uelewa wako?
 
Nkurunzinza Mbowe analeta cinema zetu Hakika ni za kwetu anafikiri hiyo ndo njia ya kuleta imani kwa watu
 
Jamaa wame-set standard.

Pamoja na hayo ; Nidhamu maana yake ni nini kwa uelewa wako?
Katiba yao inasemaje.. tafsiri ya nidhamu inategemeana na jamii... kwa mila za Africa mwanamke kunyonyesha hadharani au maziwa wazi sio issue,ila ulaya ni kosa.. na huko ulaya mwanamke kutembea hadharani na chupi sio kosa,lakini africa sio
 
Gentleman,
kwani muungwana amesimamishwa uongozi kwa kosa lipi gentleman ambao kibaraka
wa mabwenyenye ya magharibi hajalifanya?🐒
Mkuu kwanza ni tabu ,mtu muhimu kama wewe kuwa kwa washirikina ,maccm , lazima kufika mwakani usajiriwe chadema ,nitakuweka kwenye maombi,akifuatiwa na P Mayala ( ambae pamoja na kuipambania ccm pitia majukwaa mbalimbali ila ccm humuona kama kikorogosi)
 
wacha nikufungue kiroho na kifikra kidogo gentleman,

kwa neema na Baraka za Mu Mungu, huyu Pascal Mayalla, mwalimu, asipokua mbunge wa Jimbo this time around, basi atakua hata wa kuteuliwa kwa kazi maalumu na Rais,

zaidi sana,
huyo muungwana ni aidha mkuu wa mkoa au wilaya kama sio mkurugenzi in waiting.

ukinijadili mimi as apostle unajipotezea wakati gentleman 🐒
 
Kanuni hiyo hiyo itumike kumtimua Lisu
Umesahau matusi ya Nape kwa Marehemu Lowasa? Au matusi aliyotukanwa Mzee Salim Ahmed Salim aliposhindana na Kikwete 2005? Au umesahau alivyozabwa kibao Mzee Warioba pale Ubungo 2014 ,na aliyemzaba sasa ni kiongozi mkubwa serikalini?
 
Democracy nchi hii bado ni ndoto. Hayo yanayodaiwa kuwa matusi yako wapi? Kwahiyo Lissu naye karibu atafukuzwa kwa utovu wa nidhamu dhidi ya Ayatollah Mbowe?
Mapenzi yako kinyume na Lissu, tuonyeshe huo utovu wa nidhamu ni nini alichofanya
 
Matusi hayahitajiki katika jamii iliyostaarabika
 
Kanuni hiyo hiyo itumike kumtimua Lisu
Kanuni ni kitu kimoja....

Kuitumia kanuni hiyo ni kitu kingine...

Kwa mfano, wewe hebu orodhesha matusi maatatu ambayo TL katukana viongozi wake mitandaoni na hata ya kutamka kwa kinywa chake..

Twende sasa:
1...............................................

2.................................................

3.................................................
NB: Fuatilia mahojiano aliyofanya Tundu Lissu na BBC SWAHILI chini ya mwandishi na mtangazaji wao Sammy Awami. Pamoja na hayo anajibu tuhuma mbalimbali zinazotolewa na Freeman Mbowe na genge lake

View: https://youtu.be/OO2AYA3VY-Y?
si=rYCwWDRt0KJognM3https://youtu.be/e0MXkGVJrn8?si=56j8vHveXRune5eo
 
Back
Top Bottom