Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kila Kanda rasmi sasa wana mgombea wao wanaomuunga mkono...ukipishana na wenzako kikanda imekula kwakoKumekucha.
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila Kanda rasmi sasa wana mgombea wao wanaomuunga mkono...ukipishana na wenzako kikanda imekula kwakoKumekucha.
Amandla...
Jamaa wame-set standard.Hao jamaa wameweka msingi, hiyo hukumu itakuwa rejea kwa maamuzi ya kinidhamu hadi ngazi ya Taifa.. msije mkaanza kulia
NDIO MPANGO UNAOKUJA. ANAFATIA LISSSUNa bado. Na hao wanaochafuana kitaifa mtawafukuza lini?
Nidhamu Chadema Taifa,? 😂😂😂Jamaa wame-set standard.
Pamoja na hayo ; Nidhamu maana yake ni nini kwa uelewa wako?
Sema Wakili Msomi Tundu Antipas LisuNDIO MPANGO UNAOKUJA. ANAFATIA LISSSU
Naunga mkono ChademaLakini wewe binafsi msimamo wako ni upi? Unaamini Ntobi kaonewa au kamati Tendaji iko sahihi?
Mgombea anatoa milioni 250 kufadhili mkutano wa wajumbe wanaotakiwa kupiga kura .Hii ni rushwa ya wazi.Nidhamu Chadema Taifa,? 😂😂😂
Inasikitisha sana.Kila Kanda rasmi sasa wana mgombea wao wanaomuunga mkono...ukipishana na wenzako kikanda imekula kwako
Katiba yao inasemaje.. tafsiri ya nidhamu inategemeana na jamii... kwa mila za Africa mwanamke kunyonyesha hadharani au maziwa wazi sio issue,ila ulaya ni kosa.. na huko ulaya mwanamke kutembea hadharani na chupi sio kosa,lakini africa sioJamaa wame-set standard.
Pamoja na hayo ; Nidhamu maana yake ni nini kwa uelewa wako?
Mkuu kwanza ni tabu ,mtu muhimu kama wewe kuwa kwa washirikina ,maccm , lazima kufika mwakani usajiriwe chadema ,nitakuweka kwenye maombi,akifuatiwa na P Mayala ( ambae pamoja na kuipambania ccm pitia majukwaa mbalimbali ila ccm humuona kama kikorogosi)Gentleman,
kwani muungwana amesimamishwa uongozi kwa kosa lipi gentleman ambao kibaraka
wa mabwenyenye ya magharibi hajalifanya?🐒
wacha nikufungue kiroho na kifikra kidogo gentleman,Mkuu kwanza ni tabu ,mtu muhimu kama wewe kuwa kwa washirikina ,maccm , lazima kufika mwakani usajiriwe chadema ,nitakuweka kwenye maombi,akifuatiwa na P Mayala ( ambae pamoja na kuipambania ccm pitia majukwaa mbalimbali ila ccm humuona kama kikorogosi)
Umesahau matusi ya Nape kwa Marehemu Lowasa? Au matusi aliyotukanwa Mzee Salim Ahmed Salim aliposhindana na Kikwete 2005? Au umesahau alivyozabwa kibao Mzee Warioba pale Ubungo 2014 ,na aliyemzaba sasa ni kiongozi mkubwa serikalini?Kanuni hiyo hiyo itumike kumtimua Lisu
Kamtukana nani lini na tusi gani?Kanuni hiyo hiyo itumike kumtimua Lisu
Mapenzi yako kinyume na Lissu, tuonyeshe huo utovu wa nidhamu ni nini alichofanyaDemocracy nchi hii bado ni ndoto. Hayo yanayodaiwa kuwa matusi yako wapi? Kwahiyo Lissu naye karibu atafukuzwa kwa utovu wa nidhamu dhidi ya Ayatollah Mbowe?
Kanuni ni kitu kimoja....Kanuni hiyo hiyo itumike kumtimua Lisu