Nuh Mziwanda afunguka machungu ya Maisha adai akifa "asije baba, mama wala ndugu" kunizika! Aomba azikwe na Serikali

Huyu jamaa analeta tabia za U last born, analia makusudi akijua lazima atabembelezwa
 
Kuna familia hazitaki ujinga zikikuona una element za ushoga wanakutenga usije ambukiza pepo kwa wengine
 
Mimi ni Pro Life.....wasanii wenzake msaidieni huyu Mwamba.

Mpaka amesema basi Mungu ametaka tuingilie kati.

Hivyo akijidhuru kosa litakuwa kwetu sisi kwa kutochukua hatua stahiki.

Tunajua hawa wasanii wana mapungufu mengi kijamii na kimahusiano na watu wanaowazunguka ndio maana inafika mahali wanatengwa.

Basi chonde chonde aliyeko karibu naye na hasa kama ni Mwana JFs itapendeza zaidi.

Tuchukue hatua. Uhai hauna mbadala.
 
Sasa serikali kwani ndio inamhudumia kwa sasa? Ngoja tusubiri upande wa pili na familia iseme pia.
 
Una hoja usikilizwee.
 
Fala kweli alijua u-superstar ni kazi rahisi avumilie dawa iingie
 
"Mimi nateseka sio kiuchumi, kuna mengi napitia. Naomba umma ijue na iwe kama njia sahihi na mfano bora kwa vijana wanaopitia changamoto za kifamilia na kimapenzi."
Kwa nini unavaa hereni ilhali we ni mwanaume?
Ukiitwa hamnazo utakuwa umeonewa?
 
kwani akijiua bila sheria kupitishwa kuna shida gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…