Nuh Mziwanda afunguka machungu ya Maisha adai akifa "asije baba, mama wala ndugu" kunizika! Aomba azikwe na Serikali

Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu anayoyapitia, akifichua hali ngumu inayomkabili, hasa katika mahusiano yake na familia.

Katika ujumbe wake mzito, msanii huyo aliandika:

"Naomba sana kama nikifa asije mama, baba wala ndugu yangu yoyote (yeyote) kunizika mimi. Naomba nizikwe na serikali na mashabiki wangu. Naandika kwa uchungu sana, naamini Mungu anahisi maumivu yangu. Oya, hakuna kitu kibaya kama familia kukuacha na kukuona hauna maana wakati unaamini wao ndio furaha yako ya mwisho..."

Aliendelea kufunguka zaidi kwa kusema kuwa amejitahidi kuacha pombe, lakini kutokana na changamoto kubwa anazopitia, anaona hiyo ndiyo njia pekee inayoweza kumpa furaha kwa sasa.

"Mimi nateseka sio kiuchumi, kuna mengi napitia. Naomba umma ijue na iwe kama njia sahihi na mfano bora kwa vijana wanaopitia changamoto za kifamilia na kimapenzi."

Arudi kwa shishi akale pilau​
 
Huyu mwamba me nahisigi kama ana tatizo psychological, Yawezekana katika maisha yake ya sanaa kuna jambo baya limemkuta ghafla akiwa ajui akajakugundua too late, Nahisigi kama aliambukizwa ugonjwa na moja ya mitufule aliyowahi kutoka nayo alafu hataki kujikubali. Na pia mtufule uliomuachia balaa hauna time.
 
Failed suicidal attempt 🤣🤣 unajikuta kweny mikono ya sheria...Kuna mwana alijaribu nusu aende jela ila wamuweka nyuma ya nondo kama wiki hivi.
asa una fail vp nenda pori huko fanya jambo hadi likae sawa
 
Kama huna furaha husimwe pombe wala husitumie madawa ili upate furaha...pombe haijawai kumpa mtu furaha mtu mwenye matatizo ila uwa inamsahaulisha matatizo yake kwa mda ila ikishaisha kichwani matatizo yanarudi palepale...kwahiyo tumia pombe kama tayari umeshajipata na unafuraha kwa ajili ya kujipongeza vinginevyo pambana kwanza umalize shida zako acha kula tungi
 
Toka aachike na shilole hayuko sawa.!!

super woman ni ya kweli haya!?

GkE17A2XUAAjorE.jpeg
 
"Naomba sana kama nikifa asije mama, baba wala ndugu yangu yoyote (yeyote) kunizika mimi. Naomba nizikwe na serikali na mashabiki wangu. Naandika kwa uchungu sana, naamini Mungu anahisi maumivu yangu. Oya, hakuna kitu kibaya kama familia kukuacha na kukuona hauna maana wakati unaamini wao ndio furaha yako ya mwisho..."
Pole sana ila ni ngumu sana Mtoto kutengeneza Bifu na Wazazi huwezi toboa bora urudi tu umalizane nao kibingwa yaishe
 
Kuna familia hazitaki ujinga zikikuona una element za ushoga wanakutenga usije ambukiza pepo kwa wengine
Oya element za ushoga wakati jamaa ana Watoto kadhaa huyo, hivi unaelewa unachokiandika ana Watoto Wanne na kila Mtoto na Mama yake, ushoga unaingiaje hapo shoga anazalisha shoga anatungisha mimba? Shoga si anapigwa bomba nyuma muda wote?

Unajua wakati mwingine msiangalie mionekano ya watu mkaanza kuwaweka watu kwenye makundi mnayoyataka nyinyi
 
Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu anayoyapitia, akifichua hali ngumu inayomkabili, hasa katika mahusiano yake na familia.

Katika ujumbe wake mzito, msanii huyo aliandika:

"Naomba sana kama nikifa asije mama, baba wala ndugu yangu yoyote (yeyote) kunizika mimi. Naomba nizikwe na serikali na mashabiki wangu. Naandika kwa uchungu sana, naamini Mungu anahisi maumivu yangu. Oya, hakuna kitu kibaya kama familia kukuacha na kukuona hauna maana wakati unaamini wao ndio furaha yako ya mwisho..."

Aliendelea kufunguka zaidi kwa kusema kuwa amejitahidi kuacha pombe, lakini kutokana na changamoto kubwa anazopitia, anaona hiyo ndiyo njia pekee inayoweza kumpa furaha kwa sasa.

"Mimi nateseka sio kiuchumi, kuna mengi napitia. Naomba umma ijue na iwe kama njia sahihi na mfano bora kwa vijana wanaopitia changamoto za kifamilia na kimapenzi."

Hana akili timamu sasa wazazi wake wasiende kumzika ili iweje
Ukichaa tu!!!
 
Noted Nuhu ..sasa halmashauri ya wilaya gani ikuzike ?! Chagua
 
Back
Top Bottom