Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Failed suicidal attempt 🤣🤣 unajikuta kweny mikono ya sheria...Kuna mwana alijaribu nusu aende jela ila wamuweka nyuma ya nondo kama wiki hivi.kwani akijiua bila sheria kupitishwa kuna shida gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Failed suicidal attempt 🤣🤣 unajikuta kweny mikono ya sheria...Kuna mwana alijaribu nusu aende jela ila wamuweka nyuma ya nondo kama wiki hivi.kwani akijiua bila sheria kupitishwa kuna shida gani
Ni sawa ukiingia kweny upatu unaanza kuambiwa kazi yako sasa ni lazima kualika wengine , automatically unaanza kuingiza wengine mkenge🤣🤣.Kaka mkubwa sijiulizi familia yangu inanifanyia nini.
Najiuliza mimi ninaifanyia nini familia yangu.
Sijasema wangeshindwa kujipambania, nimetoa falsafa yangu ya maisha tu.Ni sawa ukiingia kweny upatu unaanza kuambiwa kazi yako sasa ni lazima kualika wengine , automatically unaanza kuingiza wengine mkenge🤣🤣.
Kwani usingezaliwa hiyo familia wangeshindwa kujipambania?
Falsafa za ukubwani yaani ukiwa mtoto unaona unaishi tu bila wasiwasi ,mwishoe hatma ya maisha yako ni wewe mwenyewe waliokuleta wanataka kunufaika kupitia wewe.Sijasema wangeshindwa kujipambania, nimetoa falsafa yangu ya maisha tu.
Na falsafa hiyo hainiruhusu kuilalamikia familia yangu.
Na kwa falsafa hiyo nimeishi vizuri sana kwa kujiinua mwenyewe bila kutegemea familia yangu.
😿😿😿 afya ya akili akiuzuria dozi atakawa sawa huyo n msongo wa mawazo apelekwe hospital haraka sanaMsanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu anayoyapitia, akifichua hali ngumu inayomkabili, hasa katika mahusiano yake na familia.
Katika ujumbe wake mzito, msanii huyo aliandika:
"Naomba sana kama nikifa asije mama, baba wala ndugu yangu yoyote (yeyote) kunizika mimi. Naomba nizikwe na serikali na mashabiki wangu. Naandika kwa uchungu sana, naamini Mungu anahisi maumivu yangu. Oya, hakuna kitu kibaya kama familia kukuacha na kukuona hauna maana wakati unaamini wao ndio furaha yako ya mwisho..."
Aliendelea kufunguka zaidi kwa kusema kuwa amejitahidi kuacha pombe, lakini kutokana na changamoto kubwa anazopitia, anaona hiyo ndiyo njia pekee inayoweza kumpa furaha kwa sasa.
"Mimi nateseka sio kiuchumi, kuna mengi napitia. Naomba umma ijue na iwe kama njia sahihi na mfano bora kwa vijana wanaopitia changamoto za kifamilia na kimapenzi."
Mtoto WA mama uyu,Kwa wasiojua maana ya mziwanda ni lastborn
Mkuu,Falsafa za ukubwani yaani ukiwa mtoto unaona unaishi tu bila wasiwasi ,mwishoe hatma ya maisha yako ni wewe mwenyewe waliokuleta wanataka kunufaika kupitia wewe.
Ahadi kedekede ; maliza kusoma utalala utakavyo 🤣,ukimaliza sasa hamna kumpumzika tena unabeba risk kubwa ukifanya kosa utajuta.
Hiyo fedha anayonunulia heleni si angenunua chakula kama maisha ni magumu?Aliendelea kufunguka zaidi kwa kusema kuwa amejitahidi kuacha pombe, lakini kutokana na changamoto kubwa anazopitia, anaona hiyo ndiyo njia pekee inayoweza kumpa furaha kwa sasa.
So kama hawana shida na wewe kuna sababu gani ya kukuleta 🤣🤣...Binadamu wote ni wabinafsi so ukiona umeleta wewe ndio furaha yao hapo ndipo wananufaika.Mkuu,
Mimi binafsi walionileta hawana shida ndogondogo na kamwe hawawezi kutaka kunufaika na mimi.
Na mimi nawaenzi kwa kuhakikisha nawajali hata pale ambapo najua hawahitaji sana msaada wangu.
Si kila mzazi anazaa kwa kuwa na shida.So kama hawana shida na wewe kuna sababu gani ya kukuleta 🤣🤣...Binadamu wote ni wabinafsi so ukiona umeleta wewe ndio furaha yao hapo ndipo wananufaika.
Hiyo ipo ulaya tu, huku bongo ukiwa maarufu unaanza kurogwa na ndugu, anafuata girl/boyfriend, mke/mume alafu bado wewe mwenyewe ukaroge.
Huu mchanganyiko ahauwezi kukuacha salama
Unamjua mama yake?? Ni mtu asiekosea??Kama mpaka mama yake amemtupa basi Nuh ndiye mwenye matatizo.