zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Labda wewe ndio umeoa umezalisha ila wewe pia bado unafokolewa nyumaWewe ndio fala kabisa hv unawajua mchicha mwiba wewe, saiv mbona kawaida mume wamtu kua mke wamtu pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wewe ndio umeoa umezalisha ila wewe pia bado unafokolewa nyumaWewe ndio fala kabisa hv unawajua mchicha mwiba wewe, saiv mbona kawaida mume wamtu kua mke wamtu pia
Msemaji wa familia umeshamaliza asante mambo yasiwe mengi.Akitaka hata tumzike kama mbwa aseme tu.
😹😹😹🙌🤣
Chinno wangu 🥰🥰😘Naanzaje kua sawa kwa mfano cute kanimimina.
Lazima niwe chizi tu kama nuhu mziwanda humu ndani
Nakuhamu mpaka naumwa ujue😘
We umejuaje yote haya!Hii story ni ngumu kuamini kama kweli ni maneno ya nuhu. Familia yao ni familia bora sana hasa mama yao. Ni mama ambaye ata sisi watoto wa jirani tu tulikua tunapewa ice cream za bure kutoka kwake leo hii asiwe na mapenzi na mwanae? Tena mtoto mwenyewe nuhu kipenzi cha mama yake?
Huyo mama alishapitia magumu yote ya dunia na bado akawa na roho ya utu. Ata baba yao kina nuhu mtu mwema sana. Kaka zake wote wawili na dada zake watu waungwana mno. Kama ni kweli ni maneno yake basi Nuhu ndo tatizo lakini sio familia yake
Serikali imemsikiaMsanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu anayoyapitia, akifichua hali ngumu inayomkabili, hasa katika mahusiano yake na familia.
Katika ujumbe wake mzito, msanii huyo aliandika:
"Naomba sana kama nikifa asije mama, baba wala ndugu yangu yoyote (yeyote) kunizika mimi. Naomba nizikwe na serikali na mashabiki wangu. Naandika kwa uchungu sana, naamini Mungu anahisi maumivu yangu. Oya, hakuna kitu kibaya kama familia kukuacha na kukuona hauna maana wakati unaamini wao ndio furaha yako ya mwisho..."
Aliendelea kufunguka zaidi kwa kusema kuwa amejitahidi kuacha pombe, lakini kutokana na changamoto kubwa anazopitia, anaona hiyo ndiyo njia pekee inayoweza kumpa furaha kwa sasa.
"Mimi nateseka sio kiuchumi, kuna mengi napitia. Naomba umma ijue na iwe kama njia sahihi na mfano bora kwa vijana wanaopitia changamoto za kifamilia na kimapenzi."
Dunia Kijiji...pia inabakia kua sisi ni people.We umejuaje yote haya!
EuthanasiaKuzaa watoto ni sawa na upatu mtanielewa siku moja ,Nuh Mziwanda anapata matatizo ila wazazi waliomzaa hawana msaada kwake kabisa ila wanategemea akikaa sawa awatunze hata hao ndugu zake ni hovyo.
Kiuhalisia ifike muda mtu kujiua iwe ni haki na huru kabisa kwa vile dunia haina maana , sometimes unajikuta huendani na mikazo ya dunia ...Kwa kweli wapitishe tu sheria hiyo hakuna ulazima wa kuendelea kushikilia maumivu hata wewe ulizaliwa bila ya ridhaa yako.
Ndio maana yule jamaa wa P square alisema bora kifo kuliko umaskini ,yuko sahihi kabisa kwa nini uendelee kuteseka simply jitoe uhai tu.
Kwanini ujilembe kana demuOya element za ushoga wakati jamaa ana Watoto kadhaa huyo, hivi unaelewa unachokiandika ana Watoto Wanne na kila Mtoto na Mama yake, ushoga unaingiaje hapo shoga anazalisha shoga anatungisha mimba? Shoga si anapigwa bomba nyuma muda wote?
Unajua wakati mwingine msiangalie mionekano ya watu mkaanza kuwaweka watu kwenye makundi mnayoyataka nyinyi
Tulikua majirani tena kwa miaka mingi sana.We umejuaje yote haya!
Duuh kwa angejipakaa masizi au sio?Kwanini ujilembe kana demu
Kwa kua mama yake ni maraika?Kama mpaka mama yake amemtupa basi Nuh ndiye mwenye matatizo.
Zama hizi vijana wanakata tamaa ya maisha mapema sana inawezekana kuna sehem kwenye malezi wazazi tunakosea ama nini?Huyu jamaa analeta tabia za U last born, analia makusudi akijua lazima atabembelezwa
Usiombe yakakukuta ila kuna wamama wabayaaa dunian hapa acha, mpk unaweza uulize ni kakuzaa kweli au vp. Jamn kama umepata wamama wazuri mshukuru Mungu, yaan wanawake waonee tuu ila mama anaweza akuchukie mpka ukamshangaaa yaan anakuchukia chukio kuuu.....Kama mpaka mama yake amemtupa basi Nuh ndiye mwenye matatizo.