Nuh Mziwanda afunguka machungu ya Maisha adai akifa "asije baba, mama wala ndugu" kunizika! Aomba azikwe na Serikali

Ukiheshimu wazazi, ukawa unatoa ushirikiano mzuri,ukiwa msikivu kwa familia na wazazi,ukiwa unashaurika.

Utalaumu bureeee kila mtu ikiwa husiki la kuambiwa.

Mimi Kama mzazi siwezi bembeleza toto lisilo nitii
 
Hii story ni ngumu kuamini kama kweli ni maneno ya nuhu. Familia yao ni familia bora sana hasa mama yao. Ni mama ambaye ata sisi watoto wa jirani tu tulikua tunapewa ice cream za bure kutoka kwake leo hii asiwe na mapenzi na mwanae? Tena mtoto mwenyewe nuhu kipenzi cha mama yake?
Huyo mama alishapitia magumu yote ya dunia na bado akawa na roho ya utu. Ata baba yao kina nuhu mtu mwema sana. Kaka zake wote wawili na dada zake watu waungwana mno. Kama ni kweli ni maneno yake basi Nuhu ndo tatizo lakini sio familia yake
 
We umejuaje yote haya!
 
Serikali imemsikia
 
Watu wasichokijua ni kwamba mambo yako yoteee unayopitia hakuna anayejali, hivyo ni jukumu lako ww kujiongeza, kujiongoza na kutumia akili yako kuishi na furaha ya kweli. Hakuna anayejali hivyo lazima uwe na ukomavu wa akili Ili uweze kuishi kwenye haya mapambano. Keep your head up.
 
Euthanasia
 
Kwanini ujilembe kana demu
 
"Kunja ngumi ,hii ni smart area ,haya anza kuimba ,unatafuta kiki kwa pikipiki ,ama black ama white vipi?" - Afande Kichuya
 
Huyu jamaa analeta tabia za U last born, analia makusudi akijua lazima atabembelezwa
Zama hizi vijana wanakata tamaa ya maisha mapema sana inawezekana kuna sehem kwenye malezi wazazi tunakosea ama nini?
 
Kama mpaka mama yake amemtupa basi Nuh ndiye mwenye matatizo.
Usiombe yakakukuta ila kuna wamama wabayaaa dunian hapa acha, mpk unaweza uulize ni kakuzaa kweli au vp. Jamn kama umepata wamama wazuri mshukuru Mungu, yaan wanawake waonee tuu ila mama anaweza akuchukie mpka ukamshangaaa yaan anakuchukia chukio kuuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…