Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Kwa mujibu wa vyanzo , Mwana habari Nuhu Adam amevujisha habari ya Mchezaji Fiston Mayele kusaini kandarasi mpya na club ya Kaizer Chief ya S.A.
===

Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram mwandishi huyu ameandika:

South African giants @kcfcofficial 🇿🇦 have completed the signing of @yangasc 🇹🇿 striker Fiston Kalala Mayele (28) on a three-year contract, announcement soon.

Mayele was 2nd highest scorer in the Tanzania Premier League this season with 16 goals.

Kwa Kiswahili
Vigogo wa soka nchini Afrika Kusini Kaizer Chiefs 🇿🇦 wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Yangasc 🇹🇿 Fiston Kalala Mayele (28) kwa mkataba wa miaka mitatu, tangazo rasmi kuja hivi karibuni.

Mayele amekuwa mfungaji bora wa 2 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu akiwa amefunga mabao 16.

1656575147379.png
 
Nuhu Adams ameamka zake asubuhi huku akihitaji ubize kwenye twitter account yake basi akawakumbuka mbumbumbu wake waliopo kariakoo
 
Nuhu Adams anatambua kama akihitaji most engagement in twitter ni kuongelea kuhusu Tanzania na timu sake za Kariakoo

Na hapa Mbumbumbu amewapata wa kutosha sana
Yule jamaa katika kumi anayosema,ni moja au mawili tu yanatimia,anajifanya Fabrizio wa Africa
 
Yule jamaa katika kumi anayosema,ni moja au mawili tu yanatimia,anajifanya Fabrizio wa Africa
Wa south Africa mpk Leo hawana imani tena na huyu jamaa tangu aandike kuhusu taarifa ya usajili wa Sipho Mbule kukamilisha usajili kwenda Mamelodi Sundowns
 
Back
Top Bottom