Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

Wa south Africa mpk Leo hawana imani tena na huyu jamaa tangu aandike kuhusu taarifa ya usajili wa Sipho Mbule kukamilisha usajili kwenda Mamelodi Sundowns
Anatafuta umaarufu Kwa kuzusha zusha tu,ndiyo maana kila mtu amemqoute na ndiyo lengo lake
 
Anatafuta umaarufu Kwa kuzusha zusha tu,ndiyo maana kila mtu amemqoute na ndiyo lengo lake
Nimeona amejitetea tena baada ya watu kumpa risiti zake za post ya nyuma kuhusu kupata followers wengi kwa kuandika more about Tanzanian Football hasa kuwa obsessed na signings zao

Anasema aandiki taarifa za Tanzania football kwa ajili ya kupata followers na uzuri twitter huwa wana hifadhi risiti zako zote za post za nyuma
 
View attachment 2277260
[emoji23][emoji23]

Mwaka huu MTAUMIZWA sana.
Utopolo kufanyiwa huu mchezo na wa congoman sio mara ya kwanza ...

Walishafanya kwa Herriet Makambo kwenda kule west africa ..haikueleweka nani alimpeleka na nani alinufaika na fedha za mauzo wapo wanao amini mpaka leo ya kuwa mzee wa moya moyaa ndio alipiga pesa za mauzo.

Ikatokea kwa tui la kiisila mwana wa kisinda..qlipigwa bei mchana kweupeee kisha uto wakaamniwa eti wata gharamiwa gharama za kambia na wazee wa Morocco yaan as gharama za mauzo ya tui, na wana uto mkaa kimyaaa wala hamkuhoji

Sasa hili hapa limetokea tena kwa huyu mcheza bolingo wenu Festina kimya kimyaaa kasign mukataba

Na bado hapo yule yule mwingine na yy ana washa indicator soon 😂😂😂😂😂
 
Kwa mujibu wa vyanzo , Mwana habari Nuhu Adam amevujisha habari ya Mchezaji Fiston Mayele kusaini kandarasi mpya na club ya Kaizer Chief ya S.A.
===

Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram mwandishi huyu ameandika:

South African giants @kcfcofficial [emoji1221] have completed the signing of @yangasc [emoji1241] striker Fiston Kalala Mayele (28) on a three-year contract, announcement soon.

Mayele was 2nd highest scorer in the Tanzania Premier League this season with 16 goals.

Kwa Kiswahili
Vigogo wa soka nchini Afrika Kusini Kaizer Chiefs [emoji1221] wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Yangasc [emoji1241] Fiston Kalala Mayele (28) kwa mkataba wa miaka mitatu, tangazo rasmi kuja hivi karibuni.

Mayele amekuwa mfungaji bora wa 2 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu akiwa amefunga mabao 16.

View attachment 2277289
UONGO
 
Utopolo kufanyiwa huu mchezo na wa congoman sio mara ya kwanza ...

Walishafanya kwa Herriet Makambo kwenda kule west africa ..haikueleweka nani alimpeleka na nani alinufaika na fedha za mauzo wapo wanao amini mpaka leo ya kuwa mzee wa moya moyaa ndio alipiga pesa za mauzo.

Ikatokea kwa tui la kiisila mwana wa kisinda..qlipigwa bei mchana kweupeee kisha uto wakaamniwa eti wata gharamiwa gharama za kambia na wazee wa Morocco yaan as gharama za mauzo ya tui, na wana uto mkaa kimyaaa wala hamkuhoji

Sasa hili hapa limetokea tena kwa huyu mcheza bolingo wenu Festina kimya kimyaaa kasign mukataba

Na bado hapo yule yule mwingine na yy ana washa indicator soon 😂😂😂😂😂
Ndio habari mnazozipenda mambumbumbu........hakuna namna inabidi muishi nazo tu

Yanga hii sio Yanga Omba Omba na michango kibao,msikalili maisha na hii ndio aliyowapelekea mkapoteza ubingwa mwaka huu,baada ya kuendelea kukariri kwamba Yanga hii huwa inaongoza na mwishoni mnachukua ubingwa nyie

Zama zinabadilika....Aliuzwa Kisinda kwakuwa alikuwa hawezi kuisaidia timu kupata mataji na pesa yake ikasajili watu Wa kushinda makombe na kwasasa tunatengeneza timu ya kwenda kuchukua CAFCL........Nyie endeleeni kupiga Payo Payo
 
Kisinda aliuzwa pesa yake mliiona ..? 😂😂😂
 
Alafu huyu NUHU ADAM.KATUMWAAA NINI
 
Attachments

  • Screenshot_20220630_111707~2.jpg
    Screenshot_20220630_111707~2.jpg
    61.8 KB · Views: 4
Alafu huyu NUHU ADAM.KATUMWAAA NINI
Sasa Yanga watarenew vipi mkataba Wa Mayele wakati tayari ameshasaini mtakaba na Kaizer chief?

Yeye mwenyewe karipoti amesaini mkataba wa miaka 3,kama kasaini tayari ataanzaje kufanya mazungumzo na Yanga tena ya kurenew mkataba sio mchezaji wako tena

Nuhu Adams anaendelea kuwachota Mbumbumbu wake wa ukoloni
 
Hahaha ww hujiulizi kwann Kaizer wamepiga kimyaaa mbona hawaja kanusha ? Na Nuhu kawa tag several.times
 
Hahaha ww hujiulizi kwann Kaizer wamepiga kimyaaa mbona hawaja kanusha ? Na Nuhu kawa tag several.times
It's pleasure to have linked with such Good player in Africa

Na walishaleta offer yao kumuhitaji huyo mchezaji na Berkane pia walituma offer yao ila zote zimekataliwa

Muhanga wa kujibu tuhuma hizo za tetesi za usajili sio Kaizer ila ni Yanga kutokana na presha ya mashabiki wake

Just normal Mind inatumika kufikiria jambo hilo, ila level ya Umbumbumbu wenu msiipeleke mbali tafadhali sana
 
Ww jifanye una maneno ya kithungu kingiii na kujifanya unajua kuthihaki watu ....ila mwisho wa siku utaumbuka na umbumbum u wakoo hio
 
NGUMU KUMEZA 🔖

Mashabiki wa Simba SC na viongozi wanahaki ya kumshangilia George Mpole kama achievement kwao kutokana na sababu kadhaa.

📌 Msimu huu klabu ya Simba haina chochote cha kushindania kwenye ligi.

▪️Bingwa - Young Africans
▪️Unbeaten - Young Africans
▪️Timu ambayo haijafungwa magoli mengi ligi kuu - Young Africans.
▪️Mfungaji bora - George Mpole
▪️Mfungaji bora namba 2 - Mayele
▪️Timu iliyofunga magoli mengi zaidi msimu huu - Young Africans

Timu iliyopiga pasi nyingi zaidi msimu huu ligi kuu Tanzania bara :
1. 🧿 11,564 - Young Africans
2. 🧿 10,372 - Simba sc
3. 🧿 9,427 - Azam fc

▪️ Golikipa mwenye Cleansheets nyingi ligi kuu Tanzania bara - Diarra
▪️ Golikipa namba mbili mwenye Cleansheets nyingi - Aboutwalib Mshery
▪️Timu yenye Cleansheets nyingi ligi kuu Tanzania bara - Young Africans.
▪️Makombe mengi msimu huu - Yanga
▪️Timu iliyoshinda michezo mingi msimu huu - Young Africans.
▪️Timu iliyotoa sare chache zaidi msimu huu - Young Africans SC
▪️Timu iliyoingiza mashabiki wengi viwanjani - Young Africans
▪️ Mshambuliaji pekee ambaye hana goli katika top three ni - Mugalu.

📌 Kwa hiyo ukitazama hapo sehemu pekee ambapo klabu ya Simba inaweza kupata tuzo ni sehemu moja tu,, Ni kwa GEORGE MPOLE.

Ukiacha Mayele kutetema, hizo ndo sababu kubwa zilizofanya mashabiki wengi wa Simba kufurahishwa na Mpole kutwaa tuzo.
 
Ww jifanye una maneno ya kithungu kingiii na kujifanya unajua kuthihaki watu ....ila mwisho wa siku utaumbuka na umbumbum u wakoo hio
Haya ulikuwa unasema Kaizer chiefs hawajatoka kukanusha taarifa ya kumsajili Mayele

Trusted sports Journalist in South Africa:Lorenz Kohler kupitia account zake za twitter na Facebook anapatikana kwa jina hilo amefanya mazungumzo na mmiliki wa timu ya Kaizer chiefs anayeitwa Kaizer Moutang Jr,amekanusha taarifa hizo za kizushi na kipumbavu za mambumbumbu wa pale ukoloni
 
Nuhu Adams and bunch of silly pages on Facebook and twitter don't take them serious,they are big fat liars
 
Who in their right minds trusts Nuhu Adams, i wonder what happened to that house he said Al Ahly bought for Sirino😂😂 and Mamelodi Sundowns bought Sipho Mbule

Nuhu Adams disgusts me with his false stories.

Nuhu is a plumber journalist
 
Back
Top Bottom