Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

demigod we ndo mchambuzi wa huku JF njoo na uchambuzi wako yakinifu juu ya hili swala la Morrison kupunguziwa mshahara kwenye mkataba wake mpya na kukataa kusign mkataba huo
 
Kama Mayelle akiondoka kweli uto watatujazia machozi huku ndoo kama saba hivi.

Mnamlilia mtu ambaye hata hajawa mfungaji bora, nyani kabisa!

Au mnampenda kwasababu alikuwa anawatetemesha kwa Mkapa?!
 
Haka kajinga kanajikuta Fabrizio au David Ornstein..kumbe utopolo mtupu
 
anayeuza ni mkopeshaji AS Vita, Yanga anapewa taarifa tu
FWfgPrPXgAIwvRo.jpg



mwaka huu mkigeuka huku nchale, mkigueka kule nchale.
 
Wa south Africa mpk Leo hawana imani tena na huyu jamaa tangu aandike kuhusu taarifa ya usajili wa Sipho Mbule kukamilisha usajili kwenda Mamelodi Sundowns
Imani imebaki kwa MAKOLO pekee. 😀😀
 
Alivyokuwa anawasifia mbona hamkumponda? Ila kagusa yalipo matumaini yenu visukari vimepanda juu

Sisi huku Jangwani hatuburudishi UONGO UONGO.

Haijalishi ulitusifia au la ukizingua UNAPEWA UKWELI.
 
Sisi huku Jangwani hatuburudishi UONGO UONGO.

Haijalishi ulitusifia au la ukizingua UNAPEWA UKWELI.
Luc hakukosea kuwaita manyani, uneducated mambwa mna bwek bweka hovyo yamejirudia leo sasa tweet moja vyura kibao wanalia hapo jangwani
 
Haya ulikuwa unasema Kaizer chiefs hawajatoka kukanusha taarifa ya kumsajili Mayele

Trusted sports Journalist in South Africa:Lorenz Kohler kupitia account zake za twitter na Facebook anapatikana kwa jina hilo amefanya mazungumzo na mmiliki wa timu ya Kaizer chiefs anayeitwa Kaizer Moutang Jr,amekanusha taarifa hizo za kizushi na kipumbavu za mambumbumbu wa pale ukoloni
Leta evidence hapa sio maneno matuu...maana wengine wanasema CEO wa kaizer kaongea mara ka tweet ...leta hapaa evidence
 
NGUMU KUMEZA [emoji434]

Mashabiki wa Simba SC na viongozi wanahaki ya kumshangilia George Mpole kama achievement kwao kutokana na sababu kadhaa.

[emoji419] Msimu huu klabu ya Simba haina chochote cha kushindania kwenye ligi.

[emoji3502]Bingwa - Young Africans
[emoji3502]Unbeaten - Young Africans
[emoji3502]Timu ambayo haijafungwa magoli mengi ligi kuu - Young Africans.
[emoji3502]Mfungaji bora - George Mpole
[emoji3502]Mfungaji bora namba 2 - Mayele
[emoji3502]Timu iliyofunga magoli mengi zaidi msimu huu - Young Africans

Timu iliyopiga pasi nyingi zaidi msimu huu ligi kuu Tanzania bara :
1. [emoji3478] 11,564 - Young Africans
2. [emoji3478] 10,372 - Simba sc
3. [emoji3478] 9,427 - Azam fc

[emoji3502] Golikipa mwenye Cleansheets nyingi ligi kuu Tanzania bara - Diarra
[emoji3502] Golikipa namba mbili mwenye Cleansheets nyingi - Aboutwalib Mshery
[emoji3502]Timu yenye Cleansheets nyingi ligi kuu Tanzania bara - Young Africans.
[emoji3502]Makombe mengi msimu huu - Yanga
[emoji3502]Timu iliyoshinda michezo mingi msimu huu - Young Africans.
[emoji3502]Timu iliyotoa sare chache zaidi msimu huu - Young Africans SC
[emoji3502]Timu iliyoingiza mashabiki wengi viwanjani - Young Africans
[emoji3502] Mshambuliaji pekee ambaye hana goli katika top three ni - Mugalu.

[emoji419] Kwa hiyo ukitazama hapo sehemu pekee ambapo klabu ya Simba inaweza kupata tuzo ni sehemu moja tu,, Ni kwa GEORGE MPOLE.

Ukiacha Mayele kutetema, hizo ndo sababu kubwa zilizofanya mashabiki wengi wa Simba kufurahishwa na Mpole kutwaa tuzo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya yote kasababisha Mpoleeee jana. Watu wana haraaa huko.
 
Back
Top Bottom