Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

Mafanikio makubwa kwa makolo msimu huu ni mchezaji wa Geita Gold George Mpole kuwa mfungaji bora
We Topolo .. kwani Bwalya yuko wapi? Na Club gani ktk Africa ya Mashariki na Pembe ya Africa ilifanya vizuri zaidi ktk mashindano ya CAF?
 
We Topolo .. kwani Bwalya yuko wapi? Na Club gani ktk Africa ya Mashariki na Pembe ya Africa ilifanya vizuri zaidi ktk mashindano ya CAF?
Bwalya ndo nani? yaani unajitokeza kabisa na kutaja vitu vya ajabu ajabu kabisa
Kama kuuwasha moto uwanjani ndo kufanya vizuri basi sawa. Haya ilo kombe la CAF mlilofanya vizuri lipo wapi?
 
Back
Top Bottom