Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Anatafuta umaarufu Kwa kuzusha zusha tu,ndiyo maana kila mtu amemqoute na ndiyo lengo lakeWa south Africa mpk Leo hawana imani tena na huyu jamaa tangu aandike kuhusu taarifa ya usajili wa Sipho Mbule kukamilisha usajili kwenda Mamelodi Sundowns
Nimeona amejitetea tena baada ya watu kumpa risiti zake za post ya nyuma kuhusu kupata followers wengi kwa kuandika more about Tanzanian Football hasa kuwa obsessed na signings zaoAnatafuta umaarufu Kwa kuzusha zusha tu,ndiyo maana kila mtu amemqoute na ndiyo lengo lake
Utopolo kufanyiwa huu mchezo na wa congoman sio mara ya kwanza ...
UONGOKwa mujibu wa vyanzo , Mwana habari Nuhu Adam amevujisha habari ya Mchezaji Fiston Mayele kusaini kandarasi mpya na club ya Kaizer Chief ya S.A.
===
Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram mwandishi huyu ameandika:
South African giants @kcfcofficial [emoji1221] have completed the signing of @yangasc [emoji1241] striker Fiston Kalala Mayele (28) on a three-year contract, announcement soon.
Mayele was 2nd highest scorer in the Tanzania Premier League this season with 16 goals.
Kwa Kiswahili
Vigogo wa soka nchini Afrika Kusini Kaizer Chiefs [emoji1221] wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Yangasc [emoji1241] Fiston Kalala Mayele (28) kwa mkataba wa miaka mitatu, tangazo rasmi kuja hivi karibuni.
Mayele amekuwa mfungaji bora wa 2 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu akiwa amefunga mabao 16.
View attachment 2277289
Ndio habari mnazozipenda mambumbumbu........hakuna namna inabidi muishi nazo tuUtopolo kufanyiwa huu mchezo na wa congoman sio mara ya kwanza ...
Walishafanya kwa Herriet Makambo kwenda kule west africa ..haikueleweka nani alimpeleka na nani alinufaika na fedha za mauzo wapo wanao amini mpaka leo ya kuwa mzee wa moya moyaa ndio alipiga pesa za mauzo.
Ikatokea kwa tui la kiisila mwana wa kisinda..qlipigwa bei mchana kweupeee kisha uto wakaamniwa eti wata gharamiwa gharama za kambia na wazee wa Morocco yaan as gharama za mauzo ya tui, na wana uto mkaa kimyaaa wala hamkuhoji
Sasa hili hapa limetokea tena kwa huyu mcheza bolingo wenu Festina kimya kimyaaa kasign mukataba
Na bado hapo yule yule mwingine na yy ana washa indicator soon 😂😂😂😂😂
Kisinda aliuzwa pesa yake mliiona ..? 😂😂😂Ndio habari mnazozipenda mambumbumbu........hakuna namna inabidi muishi nazo tu
Yanga hii sio Yanga Omba Omba na michango kibao,msikalili maisha na hii ndio aliyowapelekea mkapoteza ubingwa mwaka huu,baada ya kuendelea kukariri kwamba Yanga hii huwa inaongoza na mwishoni mnachukua ubingwa nyie
Zama zinabadilika....Aliuzwa Kisinda kwakuwa alikuwa hawezi kuisaidia timu kupata mataji na pesa yake ikasajili watu Wa kushinda makombe na kwasasa tunatengeneza timu ya kwenda kuchukua CAFCL........Nyie endeleeni kupiga Payo Payo
Sasa Yanga watarenew vipi mkataba Wa Mayele wakati tayari ameshasaini mtakaba na Kaizer chief?Alafu huyu NUHU ADAM.KATUMWAAA NINI
Hahaha ww hujiulizi kwann Kaizer wamepiga kimyaaa mbona hawaja kanusha ? Na Nuhu kawa tag several.timesSasa Yanga watarenew vipi mkataba Wa Mayele wakati tayari ameshasaini mtakaba na Kaizer chief?
Yeye mwenyewe karipoti amesaini mkataba wa miaka 3,kama kasaini tayari ataanzaje kufanya mazungumzo na Yanga tena ya kurenew mkataba sio mchezaji wako tena
Nuhu Adams anaendelea kuwachota Mbumbumbu wake wa ukoloni
It's pleasure to have linked with such Good player in AfricaHahaha ww hujiulizi kwann Kaizer wamepiga kimyaaa mbona hawaja kanusha ? Na Nuhu kawa tag several.times
huwa hawasemagi wachezaji wanaowaleta kwa mkopo,ingekuwa wa kununuliwa ungeona kelele kila kona kwamba wameuza.amewaambia kama alikuwa Uto kwa mkopo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unateseka ukiwa wapi kwan?Nuhu anawalenga zaidi mbumbumbu mliopo Tz View attachment 2277278
Sio mbaya maana Morrison kaja kuziba gape
Kinatoka kitu kinaingia kitu
Morison ni kiungo na manyele ni strikerSio mbaya maana Morrison kaja kuziba gape
Kinatoka kitu kinaingia kitu
Ww jifanye una maneno ya kithungu kingiii na kujifanya unajua kuthihaki watu ....ila mwisho wa siku utaumbuka na umbumbum u wakoo hioIt's pleasure to have linked with such Good player in Africa
Na walishaleta offer yao kumuhitaji huyo mchezaji na Berkane pia walituma offer yao ila zote zimekataliwa
Muhanga wa kujibu tuhuma hizo za tetesi za usajili sio Kaizer ila ni Yanga kutokana na presha ya mashabiki wake
Just normal Mind inatumika kufikiria jambo hilo, ila level ya Umbumbumbu wenu msiipeleke mbali tafadhali sana
Haya ulikuwa unasema Kaizer chiefs hawajatoka kukanusha taarifa ya kumsajili MayeleWw jifanye una maneno ya kithungu kingiii na kujifanya unajua kuthihaki watu ....ila mwisho wa siku utaumbuka na umbumbum u wakoo hio