Nuhu Adams: Fiston Kalala Mayele amesaini miaka 3 Kaizer Chiefs

demigod we ndo mchambuzi wa huku JF njoo na uchambuzi wako yakinifu juu ya hili swala la Morrison kupunguziwa mshahara kwenye mkataba wake mpya na kukataa kusign mkataba huo
 
Kama Mayelle akiondoka kweli uto watatujazia machozi huku ndoo kama saba hivi.

Mnamlilia mtu ambaye hata hajawa mfungaji bora, nyani kabisa!

Au mnampenda kwasababu alikuwa anawatetemesha kwa Mkapa?!
 
Haka kajinga kanajikuta Fabrizio au David Ornstein..kumbe utopolo mtupu
 
Wa south Africa mpk Leo hawana imani tena na huyu jamaa tangu aandike kuhusu taarifa ya usajili wa Sipho Mbule kukamilisha usajili kwenda Mamelodi Sundowns
Imani imebaki kwa MAKOLO pekee. 😀😀
 
Alivyokuwa anawasifia mbona hamkumponda? Ila kagusa yalipo matumaini yenu visukari vimepanda juu

Sisi huku Jangwani hatuburudishi UONGO UONGO.

Haijalishi ulitusifia au la ukizingua UNAPEWA UKWELI.
 
Sisi huku Jangwani hatuburudishi UONGO UONGO.

Haijalishi ulitusifia au la ukizingua UNAPEWA UKWELI.
Luc hakukosea kuwaita manyani, uneducated mambwa mna bwek bweka hovyo yamejirudia leo sasa tweet moja vyura kibao wanalia hapo jangwani
 
Leta evidence hapa sio maneno matuu...maana wengine wanasema CEO wa kaizer kaongea mara ka tweet ...leta hapaa evidence
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya yote kasababisha Mpoleeee jana. Watu wana haraaa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…