Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
We Topolo .. kwani Bwalya yuko wapi? Na Club gani ktk Africa ya Mashariki na Pembe ya Africa ilifanya vizuri zaidi ktk mashindano ya CAF?Mafanikio makubwa kwa makolo msimu huu ni mchezaji wa Geita Gold George Mpole kuwa mfungaji bora
Bwalya ndo nani? yaani unajitokeza kabisa na kutaja vitu vya ajabu ajabu kabisaWe Topolo .. kwani Bwalya yuko wapi? Na Club gani ktk Africa ya Mashariki na Pembe ya Africa ilifanya vizuri zaidi ktk mashindano ya CAF?
Na sakho kuwa na assist nyingi kuliko wachezaji waandamiz wa utopoloMafanikio makubwa kwa makolo msimu huu ni mchezaji wa Geita Gold George Mpole kuwa mfungaji bora
Kwa inonga master hawezi kutoboaMbumbumbu fc mmeshapoteana jipangeni Mayele bado yupo.
Assist zake zimesaidiaje timu yake katika kuchukua kombe msimu huu?Na sakho kuwa na assist nyingi kuliko wachezaji waandamiz wa utopolo
Timu yake imechukua kombe gani kwanza?Assist zake zimesaidiaje timu yake katika kuchukua kombe msimu huu?
Labda George mpole cupTimu yake imechukua kombe gani kwanza?
Kombe la Januari 12, 1964.Timu yake imechukua kombe gani kwanza?