Nuhu Mziwanda amechukua uamuzi mgumu juu ya penzi lake kwa Shilole

Nuhu Mziwanda amechukua uamuzi mgumu juu ya penzi lake kwa Shilole

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwasababu nampenda mpenzi wangu Shilole, nimeamua kujichora tattoo ya jina lake 'Shishibaby' kwenye mkono wangu, wakati nachorwa iliuma sana kuliko tattoo yangu ya kwanza na hii tatoo haita futika milele na milele" Nuhu Mziwanda aliandika maneno hayo

Naye Shilole alipost picha hiyo ya tatto na kusema "Thanks My Love for This Umeonyesha Love ya Ukweli"

Je wewe unaona ni sahihi kujichora tattoo ya jina la mpenzi wako ambae hata bado hamjui kama mtaoana ?

Na je mkiachana itakuwaje?
 
kumbe shilole ni shishibaby,never heard this before.
 
Yaan huyu shilole hivi vitoto vitampeleka wapiii hapo tu ndio namshangaa vivulana saizi ya Lulu ye kang'ang'ana tu
 
hiyo ndo tofauti ya mtoto wa kiume na mwanaume. a real man never dare to do such idiot kirahic rahic ivo. get up bro, umarioo huwa una expire!

Huyu mziwanda sio mzima kabisa, utoto unamsumbua, kupenda maisha ya bure ndo kunamfanya afanye huu upuuz
 
Lulu mwenyew havitak ivo vivulana saiz yake anatak vya akina komba

Shilole alitakiwa awe na kina komba au machemlii,hebu niambie binam hako kavulana kanafanya kazi gani hapa mjiniii???
 
Shilole alitakiwa awe na kina komba au machemlii,hebu niambie binam hako kavulana kanafanya kazi gani hapa mjiniii???

Mwanamuzik na yeye, huyu shilole haon hata aibu, si lina watoto hili?? Hat aibu halion kabisa ***** zake kutoka na vitoto vidogo, young dee kapiga sanaa apa ,huyu atakuwa na mapepo c bure
 
Mwanamuzik na yeye, huyu shilole haon hata aibu, si lina watoto hili?? Hat aibu halion kabisa ***** zake kutoka na vitoto vidogo, young dee kapiga sanaa apa ,huyu atakuwa na mapepo c bure

Kaimba nyimbo mi ndio namuona leo huyuu,yaan shilole ndio maana alipata bwabwa akafurahii
 
Hawa watoto bana......ukiwa na mtoto wa kiume anayependa hivi hesabu hasara........:A S 13:
 
Hapa ina maana akiachana naye itabidi akatwe mikono ndo aoe

Ulimbukeni tu
 
Keshokutwa tu hapa warumi atakuja na thread ya kuachana kwa shilole na huyo sijui nani vile, sijui hiyo tattoo utaificha wapi
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni sawa na JLO na kale kasmall serengeti.Ila sijui shilole sijui amekipa nini kaboy kawatu maana mpk tatoo?Sema siku hizi ufundi mwingi uwezi jua?
 
Waue tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Keshokutwa tu hapa warumi atakuja na thread ya kuachana kwa shilole na huyo sijui nani vile, sijui hiyo tattoo utaificha wapi

Mmh mjini kuna mambo, ebu usinifanye nitoe masir ya watu na hizo tatoo maana siku iz nimeokoka sipend umbea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom