ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Mmh mjini kuna mambo, ebu usinifanye nitoe masir ya watu na hizo tatoo maana siku iz nimeokoka sipend umbea
Tehtehteh, haya Mungu akubariki usitoke kwenye wokovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh mjini kuna mambo, ebu usinifanye nitoe masir ya watu na hizo tatoo maana siku iz nimeokoka sipend umbea
Tehtehteh, haya Mungu akubariki usitoke kwenye wokovu
Shilole alitakiwa awe na kina komba au machemlii,hebu niambie binam hako kavulana kanafanya kazi gani hapa mjiniii???
ubarikiwe mtumishi, nahis changamoto niliyonayo kwenye huu wokovu ni umbea, yaani apa yanahitajika maomb ya ziada kuishinda hii dhambi
Yaan huyu shilole hivi vitoto vitampeleka wapiii hapo tu ndio namshangaa vivulana saizi ya Lulu ye kang'ang'ana tu
Namhurumia sana dogo huyo.
HILI nunga embe shilole sijui limemdanganya nn mtoto wa watu

Mwanamuzik na yeye, huyu shilole haon hata aibu, si lina watoto hili?? Hat aibu halion kabisa ***** zake kutoka na vitoto vidogo, young dee kapiga sanaa apa ,huyu atakuwa na mapepo c bure
Yaan huyu shilole hivi vitoto vitampeleka wapiii hapo tu ndio namshangaa vivulana saizi ya Lulu ye kang'ang'ana tu
Mmh mjini kuna mambo, ebu usinifanye nitoe masir ya watu na hizo tatoo maana siku iz nimeokoka sipend umbea
Wewe usicheze na dushelele, hivi Dinazarde unaanzaje kumuita mtu aliyezidi 18 mtoto, wakati uyo hata hata Mimba anakujaza, mkubwa uyo Bwana hamna cha Utoto, Shilole kashakolezwa hatoki tena. SEMA TU kafanya upuuzi kujichora
dah! sidhani kama unaishi bongo wewe may be afghanistan yaani humjui nuhu mziwanda?!!!!!
ubarikiwe mtumishi, nahis changamoto niliyonayo kwenye huu wokovu ni umbea, yaani apa yanahitajika maomb ya ziada kuishinda hii dhambi
Ukiacha umbea nahama Jamiii haki ya gwajima shahidi mbasha
dah! sidhani kama unaishi bongo wewe may be afghanistan yaani humjui nuhu mziwanda?!!!!!
Kwani wa saizi hawana dushe,ana watoto hawaonei aibu??