Nuhu Mziwanda amechukua uamuzi mgumu juu ya penzi lake kwa Shilole

Nuhu Mziwanda amechukua uamuzi mgumu juu ya penzi lake kwa Shilole

mapenzi ya kibongo uchore tatoo?

Mkuu iyo Tattooo dogo kabugi sana kwakweli!!!!, ila kama kumega Aaaaaah amege tu tena sana but careful!!Huwezi kuacha kummega kisawasawa mtu kama uyu hata umri wa ujana bado haujampita. At least angekua ana umri zaidi 40 ndio ningeshangaa aisee
clip_image001[14]_thumb[2].jpg
 
huyu dogo anabana kete mitaa ya kina chokoteja chid,na kuna habari za chinichini kuwa dogo sio ishu yani hakuna rizki hapo,kwani jamaa flan mwenye mashop/boutique yaliyozagaa hapa mjini anatatau linda la mtandao wa surakitabu bureeeee...data bila malipo
 
Hawa watoto bana......ukiwa na mtoto wa kiume anayependa hivi hesabu hasara........:A S 13:
unamchapa vibao,ujinga mtupu hao ndo wale wanakunywa simu wakiachwa
 
Back
Top Bottom