Nuhu Mziwanda amechukua uamuzi mgumu juu ya penzi lake kwa Shilole

Nuhu Mziwanda amechukua uamuzi mgumu juu ya penzi lake kwa Shilole

Kwani wa saizi hawana dushe,ana watoto hawaonei aibu??
Kaharibu kujichora tu, Dinazarde cheki kijana alivyoshika kiuno, we bado unamuita mtoto
 
Attachments

  • 2.png
    2.png
    206.6 KB · Views: 887
Mtoto wa Kota ilala huyo mwacheni hale raha hila kujichora hapo mdogo wangu nuhu umeharibu
 
Muache amuambukize goma vizuri then ajue mjini kunani,shilole lazima ambwage huyo zunde hana kazi na wala show hapati anashindaga tu huku mtaani sasa sijui atawezaje kumuhudimia huyo demu
 
Mmh mjini kuna mambo, ebu usinifanye nitoe masir ya watu na hizo tatoo maana siku iz nimeokoka sipend umbea

tupe mambo binam, haachi mtu umbea. Hahahhahaha usije kuokoka kwa gwajima bureeee wifi akabaki nae
 
Muache amuambukize goma vizuri then ajue mjini kunani,shilole lazima ambwage huyo zunde hana kazi na wala show hapati anashindaga tu huku mtaani sasa sijui atawezaje kumuhudimia huyo demu

Unamfahamu vzr Nuhu? Unamjua Kenny?

Just like the old days
 
Muache amuambukize goma vizuri then ajue mjini kunani,shilole lazima ambwage huyo zunde hana kazi na wala show hapati anashindaga tu huku mtaani sasa sijui atawezaje kumuhudimia huyo demu

Mkuu mi sidhani kama Shilole kafata kuhudumiwa hapo, Ushasema hpo kwenye red uyu mtu hana kazi,ivyo kama huyu demu angetaka kuhudumiwa ange deal na mapedesheee hapo mjini, Mi nadhani Shilole KACHIZIKA TU
 
Kaharibu kujichora tu, Dinazarde cheki kijana alivyoshika kiuno, we bado unamuita mtoto

Ameona awaige domo na mama ubaya lol muda si mrefu tutayasikiaa hizo tatoo atalia nazo
 
Dinazarde kwani Machache na Mh. Mbunge nao hawakuona size yao wakabeba hawa warembo wadogo???????Hakuna cha size anachopata Shilole anajua aisee hivi we ujiulizi

Bora mwanaume awe mkubwa kuliko mwanaume awe mdogo
 
Wakimwagana jamaa atakuwa family member wa long sleeve shirts(mashati ya mikono mirefu) kupunguza makali ya aibu yake ya kujitakia
 
Bora mwanaume awe mkubwa kuliko mwanaume awe mdogo

Hata hakuna ubora bana, Tumeona wangap wanawake wamewazidi na wanapa kweli mambo!..Yaani unavutia upande wenu mabinti eti nyie mfaidi vidingi, vijana wasifaidi hawa watu aaaaaaaaaaaaahhh!!!Ebu Dinazarde jionee ana uzee gani wa KUTOLIWA UYU
clip_image001[12]_thumb[2].jpgSHILOLE6.JPGSHISHINANUH-300x300.jpg
 
Keshokutwa tu hapa warumi atakuja na thread ya kuachana kwa shilole na huyo sijui nani vile, sijui hiyo tattoo utaificha wapi

..atabandua ngozi mamii!
 
Last edited by a moderator:
ubarikiwe mtumishi, nahis changamoto niliyonayo kwenye huu wokovu ni umbea, yaani apa yanahitajika maomb ya ziada kuishinda hii dhambi

haaa haaa haa warumi umenichekesha. Mungu atakujalia neema ya kushinda dhambi hiyo.
 
Mkuu mi sidhani kama Shilole kafata kuhudumiwa hapo, Ushasema hpo kwenye red uyu mtu hana kazi,ivyo kama huyu demu angetaka kuhudumiwa ange deal na mapedesheee hapo mjini, Mi nadhani Shilole KACHIZIKA TU

mapenzi ya kibongo uchore tatoo?
 
Back
Top Bottom