raha au matatizo??
upo mrembo?vipi @Asprin na @Nicas Mtei au @Kaizer wamekuona?
raha au matatizo??
upo mrembo?vipi @Asprin na @Nicas Mtei au @Kaizer wamekuona?
unamchapa vibao,ujinga mtupu hao ndo wale wanakunywa simu wakiachwaHawa watoto bana......ukiwa na mtoto wa kiume anayependa hivi hesabu hasara........:A S 13:
raha mkuu mwanaume mwenye akili zake anaanzia wapi kudo hivo
Acha kupotosha aise..naijua hadi siku ya kwanza Nuhu analala na Shishi. I know what happened.
huyu mvulana ana umri gani....?
Atakua na miaka 16 ikizidi sana 17