Aliyosema Mnyika:
Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.
Hawakujitambulisha kama polisi.
Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.
"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.
Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.
Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.
Alichoandika almaarufu X-mayor:
Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.
Kwamba alichukuliwa na polisi.
Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.
Walichoandika mwananchi:
Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa ilikuwa kama walikuwa wanajuana.
Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.
Beberu anasema:
"Which is which?"
Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini