Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

Trying to make sense of this thread.

Mleta mada unajaribu kutuelekeza kwenye hoja kwamba "viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe ni wahusika au washirika katika hili sakata"? Kwamba wanajua undani wake kuliko wanavyoeleza?

Still trying to make sense?
 
Viongozi wengi wa Chadema Wana Viapo Vya asili Kwa mfano Dr Slaa ni Padre

Mnyika ni Mseminari

Mbowe ni Mtumishi wa Umma Mstaafu

Sugu ni Afisa mbobezi

Nk.....nk 😂 😂 😂 😂 😂

Watoto wadogo hamjui mengi🔥

Mwananchi: Tumekuja kumchukua Mtu wetu

Kwamba mwamba ni mwenzao?
 
Sawa. Speechless kwa jeuri na ukatili uliofanywa na watekaji/wauaji AU kwa kauli zilizopishana za viongozi wa CHADEMA na mashuhuda wengine? AU kwa vyote?

binti kiziwi nduguyo atakosekana kwenye mzigoni hapo?

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg
 
Peleka huu ushahidi polisi ili uwasaidie kwenye upelelezi wao unao endelea wa kujipeleleza wenyewe. Unaleta mada ya kiwaki wakati kuna mtanzania mwenzetu ametekwa na kuuawa na dola!!!

Salamaleko Ustaadhi:

Peleka huu ushahidi polisi ili uwasaidie kwenye upelelezi wao unao endelea wa kujipeleleza wenyewe. Unaleta mada ya kiwaki wakati kuna mtanzania mwenzetu ametekwa na kuuawa na dola!!!

Salamaleko ndugu, kukumbuka kungalipo?
 
Kwani kuna nini limebadilika? Mzee kibao amefufuka? Waliomteka na kumuua wamekamatwa?

Ilikuwa ni salamu tu ndugu, ila ngoja tusimike chairman kwanza, tutawarejea machawa wote.

Angalau hata kuwasabahi tu.

Au hata salamu nazo hamtaki?
 
Back
Top Bottom