Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

Kwani unataka kusemaje? Kwamba polisi/usalama hawahusiki na huu utekaji? Kuna majambazi siku hizi wana jiamini na kutembea wakiteka watu kwa bunduki na pingu?Tena hadharani!!!
Matapeli wa Aridhi tu wanaajiaamini kuliko na kufanya yao watakavyo,itakua watu wa vyuma vya moto!! Uchunguzi wa kina ufanyike haraka iwezekanavyo, ili wahalifu wote wakamatwe!!
 
Ccm
Aliyosema Mnyika:

Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.

Hawakujitambulisha kama polisi.

Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.

"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.

Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.

Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.

Alichoandika almaarufu X-mayor:

Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.

Kwamba alichukuliwa na polisi.

Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.

Walichoandika mwananchi:

View attachment 3092200

Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa walikuwa wanajuana.

Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.

Beberu anasema:

"Which is which?"

Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
Ccm ni wauaji cku zote
 
Akashuka mwenyewe wakati amefungwa pingu. Nonsense kabisa kichwa ni muhimu kwa umuhimu wake.
Pls Share hilo andiko lako na Hon Minister Masauni utakuwa umemsaidia sana.
 
Peleka huu ushahidi polisi ili uwasaidie kwenye upelelezi wao unao endelea wa kujipeleleza wenyewe. Unaleta mada ya kiwaki wakati kuna mtanzania mwenzetu ametekwa na kuuawa na dola!!!
Jamaa unamlaumu bure mwana,mshikaji kaleta nukuu tu za baadhi ya mashahidi kupitia mitandao,sasa wwe unamkasirikia badala ya kutafakari tukio zima na taarifa zake kwa kutumia ubongo wako uliobarikiwa na Mungu huku tukisubiri official statement kutoka mamlaka husika!!
 
Ni ajabu sana watu kuonekana kukerwa na nukuu ambazo zimekuwa hadharani.

Nani asiyejua linapotokea jambo lenye kuigusa jamii Kila mtu husema lake?

Vinginevyo tungekuwa tunasogelea telegram kwa kina Buyobe?
 
Kwani walioamriwa kutoa taarifa kamili wameshanyoosha maelezo?

Wengine si Kila mtu atasema lake kama ilivyo katika nukuu hizo?
actually,
ndiyo ilivyo kwenye vifo na misiba tata ya wanadamu..

Infact,
hata ukweli au uongo uweje kila muombolezaji atafikiri na atasema lake kadiri anavyohisi na kuona mazingira na hali halisi ilivyo, hilo halizuiliki🐒
 
Kama nia ingekuwa njema kupisha kila mtu kusema lake uchunguzi huru ulikuwa ni muhimu sana.

Mama awaite Mossad au CIA kufanya hili mbona tungeungana na kina Lukasi kububujikwa machozi na kumpa 5 mingine?
 
Aliyosema Mnyika:

Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.

Hawakujitambulisha kama polisi.

Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.

"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.

Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.

Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.

Alichoandika almaarufu X-mayor:

Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.

Kwamba alichukuliwa na polisi.

Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.

Walichoandika mwananchi:

View attachment 3092200

Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa walikuwa wanajuana.

Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.

Beberu anasema:

"Which is which?"

Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
Alitekwa ama hakutekwa?
 
Viongozi wengi wa Chadema Wana Viapo Vya asili Kwa mfano Dr Slaa ni Padre

Mnyika ni Mseminari

Mbowe ni Mtumishi wa Umma Mstaafu

Sugu ni Afisa mbobezi

Nk.....nk 😂 😂 😂 😂 😂

Watoto wadogo hamjui mengi🔥

Mwananchi: Tumekuja kumchukua Mtu wetu

Mkuu hizi ni nadharia fyongo.

Waliofanyiza tukio lile juu hadi chini ni waovu sana na hawawezi kujipa uhalali wowote.

Laiti mama angefanya maamuzi magumu kufanya uchunguzi huru.

Mossad na CIA hawajashindwa kuwakamata majahiri hata Teheran ndani ndani huko.
 
Alitekwa ama hakutekwa?

Hakuna panaposomeka hakutekwa.

Zaidi panasomeka kauli tata kwenye utekaji.

(Izingatiwe Mod, Bridger wame karabati title na kuweka hadi makosa ndani yake).

Au kuna moja hapo wewe hujaisikia?

Hudhani Ili maelezo yanyooke, kama vipi tupate usaidizi hata kutokea nje?
 
Mkuu hizi ni nadharia fyongo.

Waliofanyiza tukio lile juu hadi chini ni waovu sana na hawawezi kujipa uhalali wowote.

Laiti mama angefanya maamuzi magumu kufanya uchunguzi huru.

Mossad na CIA hawajashindwa kuwakamata majahiri hata Teheran ndani ndani huko.
Waliomuuwa Mpiganaji wa Vita ya Kagera bila kujali ni akina nani hasira ya Mungu itawashukia!
 
Aliyosema Mnyika:

Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.

Hawakujitambulisha kama polisi.

Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.

"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.

Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.

Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.

Alichoandika almaarufu X-mayor:

Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.

Kwamba alichukuliwa na polisi.

Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.

Walichoandika mwananchi:

View attachment 3092200

Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa walikuwa wanajuana.

Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.

Beberu anasema:

"Which is which?"

Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
20240910_122533.jpg
 
wachache wenye nia ovu from the Govt!, mnamharibia mama ninyi mnajua pia hili

Mtu kumnukuu yeyote humu hakumfanyi kuwa anaandika Kwa niaba ya yeyote

Au mkuu kwa nini wewe usiwe kuwa upo hapa kwa niaba ya serikali?

imhotep si tulikubaliana kuzipiga vita tabia hizi za kutaka kujihesabia haki au kujifanya chadema sana kuliko wengine?
 
tulikubaliana kuzipiga vita tabia hizi za kutaka kujihesabia haki au kujifanya chadema sana kuliko wengine?
Hakuna CHADEMA zaidi CHADEMA mwingine kila mmoja ana UHURU wa MAWAZO.
 
Back
Top Bottom