Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

ni muhimu kuwa wastahimilivu na wenye subra maelekezo na maagizo ya Rais kuhusu hilo 🐒

La muhimu mdhamini wetu mkuu wa usalama wetu atupe maelezo yaliyonyooka haswa!
 
Kwani ungependa niandike utakavyo wewe ndugu?

Hudhani kuwa ninao uhuru wa kuandika nitakavyo?

Kwa mawazo yako mjuzi ni wewe tu?

Kwamba kumbe una hati miliki ya kipi?

Ama kweli tutamlaumu sana dobi!
Ukilizwa ni kilimo Gani kilitunika kupima ujinga utajua ni propaganda TU. Mfano mtu hajasoma secondary unamuukiza liebigisi condensa nini akishindwa unasema ni mjinga.

Anyway
 
Kwani ungependa niandike utakavyo wewe ndugu?

Hudhani kuwa ninao uhuru wa kuandika nitakavyo?

Kwa mawazo yako mjuzi ni wewe tu?

Kwamba kumbe una hati miliki ya kipi?

Ama kweli tutamlaumu sana dobi!
Kuandika mawazo yako public haina maana wanaoona hayapo sawa wasiyapinge
 
Waandishi wanne wa Injili kwenye Biblia habari zilezile focus na maelezo tofauti kwa source yuleyule. Je, itakuwaje kwa habari kutoka reporters ambao wanategemea sources wanavyowapa habari? Boniface na Mnyika siyo primary (bali ni secondary) sources wa hilo tukio. Primary sources ni wale waliokuwa kwenye tukio na waliona kilichotokea. Tofauti hizi pia huwa tunaziona kwenye uandishi wa habari. Tukio linatokea, lakini kila mwandishi anaandika kutoka katika perspective fulani na pengine kutoka sources tofauti: mashuhuda, polisi na daktari. Kwenye baadhi ya seminar huwa kuna exercise fulani ya namna kilichosemwa na A hadi kufika kwa Z huwa maneno yameshabadikika. Mfano, unaweza kuambiwa na facilitator wa warsha kwamba "mwambie jirani yako kwamba tutakula kuku na chipsi". Mtu wa pili anaweza kumwambia wa 3 "tutakula kuku na chipsi". Mtu wa nne anaweza kuwa amesikia neno la mwisho tu "chipsi" na wa mwisho kabisa anaweza kusikia "nimeambiwa kuku na chipsi". Wakisimamishwa watu wawili, wa kwanza atasema "mwambie jirani yako kuwa tutakula kuku na chipsi" na mwisho yeye atasema "chipsi". Ndiyo shida ya communication ukishawahusisha sources 2, tena kama vyao vyao (primary sources) ni tofauti. Mfano, mashuhuda wawili dereva na konda ukiwauliza kilichotokea sidhani kwamba hata wao watakuwa na 'narration' ileile. Mmoja anaweza kutaja hata hao waliosimamisha gari walikuwa wamevaa nguo za rangi gani, na mwingine focus yake itakuwa kwa kitu kingine.

Msingi wa mada ni kuwa panapo jambo kila mtu anaweza kusema lake kama dondoo zinavyosomeka.

Haipo kesi hapo ila tuishie hapo bila maelezo yote kunyooshwa?

Isingekuwa haki kuwa na uchunguzi huru Ili kama ni mbwai na iwe mbwai?
 
Ukilizwa ni kilimo Gani kilitunika kupima ujinga utajua ni propaganda TU. Mfano mtu hajasoma secondary unamuukiza liebigisi condensa nini akishindwa unasema ni mjinga.

Anyway

Kwa hakika mtu yeyote akianza kujibu kuhusu "liebigisi condensa" atakuwa ni zezeta kiazi mbatata kweli kweli.

Kumbuka maswali kwa watahiniwa ni shuruti kuwa sahihi kabisa kwa kuanzia.

Zingatia majukumu ya watahini wa nje kwenye elimu ya juu.
 
Tusubiri uchunguzi alioagiza Mhe. Rais na CI. Tumwache mzee Kibao apumzike. Maana kila mtu anajidai anajua ukweli. 🙏🙏🙏.

Hapa kwenye kuwaacha wanaowatanguliza kupumzika ndipo tunapopigiwa.

Wenyewe wakisema: "nalo litapita."

Ilikuwa muhimu deadline ya huu uchunguzi ikajulikana.

Yote ya namna hii hayakubaliki.
 
Msingi wa mada ni kuwa panapo jambo kila mtu anaweza kusema lake kama dondoo zinavyosomeka.

Haipo kesi hapo ila tuishie hapo bila maelezo yote kunyooshwa?

Isingekuwa haki kuwa na uchunguzi huru Ili kama ni mbwai na iwe mbwai?
1. Tukio baya limetokea. 2. Tofauti za uwasilishaji wa taarifa haziondoi tatizo. 3. Ndiyo maana hata hao waliotoa taarifa za kada mwenzao wanataka uchunguzi wa kina ufanyike. Hivi ndivyo ninavyoona mimi.
 
Tuko wote.

Ndiyo maana uchunguzi huru ilikuwa muafaka zaidi.
 
Hapa kwenye kuwaacha wanaowatanguliza kupumzika ndipo tunapopigiwa.

Wenyewe wakisema: "nalo litapita."

Ilikuwa muhimu deadline ya huu uchunguzi ikajulikana.

Yote ya namna hii hayakubaliki.
Usijali uzuri wa jinai haina ukomo, saa yoyote ushahidi usio achaa shaka ukipatikana watu wanapandishwa kizimbani!!
 
Wengine hatukuwapo ndiyo maana tunanukuu na kuuliza which is which?

Kwa hIyo yako hii ndiyo ichukuliwe ni uthibitisho?
Ata hao uliowanukuu hawakuwepo eneo la tukio.wote wamepata taarifa kutoka kwenye vyanzo tofauti tofauti.Kinachohitajika ni mamlaka hysika zitimize wajibu wao wakuwakama wahusika sio wewe kutukutea mambo ya nukuu ambazo hazina maana kwa sasa.
 
Ndivyo maana tunaongea uchunguzi huru.

Ungewaambia wao wasiseme Ili kina sisi tusiwanukuu.
 
Aliyosema Mnyika:

Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.

Hawakujitambulisha kama polisi.

Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.

"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.

Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.

Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.

Alichoandika almaarufu X-mayor:

Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.

Kwamba alichukuliwa na polisi.

Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.

Walichoandika mwananchi:

View attachment 3092200

Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa ilikuwa kama walikuwa wanajuana.

Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.

Beberu anasema:

"Which is which?"

Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
Unataka kusema nini? Kwamba hakukuwa na utekaji?
 
Back
Top Bottom