Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

Hakuna CHADEMA zaidi CHADEMA mwingine kila mmoja ana UHURU wa MAWAZO.

Ajabu na kweli nyuma ya fake ID mtu anaweza kujimwambafai vipi kuwa bora zaidi kuliko nani na hata kumnyooshea mwingine kidole?
 
Mtazamo wangu mimi ili serikali waepukane na tuhuma za hivi basi police au vyombo vya cola vinapokamata mhatifu au watuhumiwa uwepo utaratibu wa kuwafahamu hao wakamataji.

Na kama wakija kimya kimya kwa style hiyo waruhusu mkamatwaji kujitetea au hata kutetewa na wengine.

Ukiangalia njia wanazoingilia watekaji ni zile zile za vyombo vyetu vya usalama hutumika kukamatia waharifu.

Yaani undava undava tu.
 
Mtazamo wangu mimi ili serikali waepukane na tuhuma za hivi basi police au vyombo vya cola vinapokamata mhatifu au watuhumiwa uwepo utaratibu wa kuwafahamu hao wakamataji.

Na kama wakija kimya kimya kwa style hiyo waruhusu mkamatwaji kujitetea au hata kutetewa na wengine.

Ukiangalia Via wanazoinhilia wayekaji ni zile zile za vyombo vyetu vya usalama hutymika kukamatia waharifu.

Yaani undava undava tu.

Ni muhimu sana kutofautisha utekaji na ukamataji.

Labda una maana wananchi tuelewane tu, ni lini tusikubali kuchukuliwa na awaye yote?
 
Kama nia ingekuwa njema kupisha kila mtu kusema lake uchunguzi huru ulikuwa ni muhimu sana.

Mama awaite Mossad au CIA kufanya hili mbona tungeungana na kina Lukasi kububujikwa machozi na kumpa 5 mingine?
Mossad na CIA unazijua kazi zao? Umeandika kitu cha kitoto
 
unaona sasa stori za kwenye misiba silivyo pamoja na hizi unaleta 🐒
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=D-YHC8b6Hjk&pp=ygUqTGluZSB0YXBwaW5nIGluZm9ybWF0aW9uIHNoYXJpbmcgY2hhbGxlbmdl

Kama bado ujawahi kuangalia hizo line communications challenges ingia YouTube. .

Yule anaenza kutuma message by the time message inafika kwa mtu wa mwisho ni kitu tofauti kabisa.

Polisi au vyombo vya habari vinatakiwa kuhoji dereva, konda au abiria waliokuwa kwenye safari.

Kusikiliza hadithi za watu ambao hawakuwepo nini kilijiri hasa wanachama wa CDM ambao ni bias from start uwezi kupata consistent story na lazima iwe embellished na narrative yao.
 
Mossad na CIA unazijua kazi zao? Umeandika kitu cha kitoto

Kupata usaidizi kokote hakuwezi kuitwa ni kitu cha kitoto.

Kama hao hawafanyi hizo wakakuelekeza labda Kwa wenzao wa Scotland yard kwani tatizo lako nini?

Kwani hapa tunaongelea terminology correctness au kukerwa na mumiani watu wasiokuwa na credibility za kujichunguza wenyewe?
 
Unaandika utoto bado. Hadi watafute hao unaosema kwani unahisi hawajui kilichotokea?
 
Kosa tumefanya kupitisha ile TISS Act...hawaulizwi wala kishitakiwa kazi ipoopo

.

Uko sahihi kimaandishi ila kutufungamanisha sote humo ni kutukosea sana wengine.

Nani asiyejua waliopitisha hilo?

Vipi na sisi kuwa pamoja na waliooza kwenye tenga?
 
Unaandika utoto bado. Hadi watafute hao unaosema kwani unahisi hawajui kilichotokea?

Wapi nilipoandika watafute, mkubwa uliye join May 2024?

Uliona nilipoandika: "kama ipo nia njema ..."

Au ni kurukia treni kwa mbele tu ndugu?
 
Wapi nilipoandika watafute, mkubwa uliye join May 2024?

Uliona nilipoandika: "kama ipo nia njema ..."

Au ni kurukia treni kwa mbele tu ndugu?
Unaka bure ulichomaanisha. Kuwaza mossad na cia kuja ni kielelezo cha kutojua mambo yanavyoenda
 
Aliyosema Mnyika:

Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.

Hawakujitambulisha kama polisi.

Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.

"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.

Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.

Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.

Alichoandika almaarufu X-mayor:

Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.

Kwamba alichukuliwa na polisi.

Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.

Walichoandika mwananchi:

View attachment 3092200

Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa ilikuwa kama walikuwa wanajuana.

Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.

Beberu anasema:

"Which is which?"

Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
Tusubiri uchunguzi alioagiza Mhe. Rais na CI. Tumwache mzee Kibao apumzike. Maana kila mtu anajidai anajua ukweli. 🙏🙏🙏.
 
Aliyosema Mnyika:

Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.

Hawakujitambulisha kama polisi.

Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.

"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.

Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.

Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.

Alichoandika almaarufu X-mayor:

Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.

Kwamba alichukuliwa na polisi.

Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.

Walichoandika mwananchi:

View attachment 3092200

Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa ilikuwa kama walikuwa wanajuana.

Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.

Beberu anasema:

"Which is which?"

Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
Mkuu,

Jambo ambalo lipo hapo ni kwamba vyombo vimehusika(ni usalama, jeshi, au polisi) haijalishi maana viashiria vya magari, silaha, pingu na hata matamshi yao ynaashiria hivyo.

Pili ni kweli alishushwa kwenye bus na watu hao na Kuna mojawapo alijiunga naa ambapo alikua abiria.

Na taarifa rasmi kutoka KWA wamiliki wa bus wafanyakazi wao walitishwa na silaha walitaka kushusha abiria Huyo.

Sasa tofauti ya kusema polisi sijui usalama by the way polisi wote ni wanausalama sijui kama unajua hilo. Ndio maana linaitwa Jeshi la ulinzi na usalama wa Raia.

Hakuna utaka kwenye hizo kauli
 
Aliyosema Mnyika:

Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.

Hawakujitambulisha kama polisi.

Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.

"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.

Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.

Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.

Alichoandika almaarufu X-mayor:

Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.

Kwamba alichukuliwa na polisi.

Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.

Walichoandika mwananchi:

View attachment 3092200

Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa ilikuwa kama walikuwa wanajuana.

Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.

Beberu anasema:

"Which is which?"

Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
Waandishi wanne wa Injili kwenye Biblia habari zilezile, focus na maelezo tofauti kwa source yuleyule. Je, itakuwaje kwa habari kutoka reporters ambao wanategemea sources wanaowapa habari? Boniface na Mnyika siyo primary (bali ni secondary) sources wa hilo tukio. Primary sources ni wale waliokuwa kwenye tukio na waliona kilichotokea. Tofauti hizi pia huwa tunaziona kwenye uandishi wa habari. Tukio linatokea, lakini kila mwandishi anaandika kutoka katika perspective fulani na pengine kutoka sources tofauti: mashuhuda, polisi na daktari. Kwenye baadhi ya seminar huwa kuna exercise fulani ya namna kilichosemwa na A hadi kufika kwa Z huwa maneno yameshabadilika. Mfano, unaweza kuambiwa na facilitator wa warsha kwamba "mwambie jirani yako kwamba tutakula kuku na chipsi". Mtu wa pili anaweza kumwambia wa 3 "tutakula kuku na chipsi". Mtu wa nne anaweza kuwa amesikia neno la mwisho tu "nimeambiwa kuku na chips" na wa mwisho kabisa anaweza kusema "chipsi". Wakisimamishwa watu wawili, wa kwanza atasema "mwambie jirani yako kuwa tutakula kuku na chipsi" na mwisho yeye atasema "chipsi". Ndiyo shida ya communication ukishawahusisha sources zaidi ya 1, tena kama vyanzo vyao vyao vya habari (primary sources) ni tofauti. Mfano, mashuhuda wawili dereva na konda ukiwauliza kilichotokea sidhani kwamba hata wao watakuwa na 'narration' ileile. Mmoja anaweza kutaja hata hao waliosimamisha gari walikuwa wamevaa nguo za rangi gani, na mwingine focus yake itakuwa kwa kitu kingine. Kwa hiyo, tofauti katika reporting ya reporters inatokana na angle ya kila reporter and audience, na si necessarily kwamba walichosema si sahihi.
 
Unaka bure ulichomaanisha. Kuwaza mossad na cia kuja ni kielelezo cha kutojua mambo yanavyoenda

Kwani ungependa niandike utakavyo wewe ndugu?

Hudhani kuwa ninao uhuru wa kuandika nitakavyo?

Kwa mawazo yako mjuzi ni wewe tu?

Kwamba kumbe una hati miliki ya kipi?

IMG_20240824_065438.jpg

Ama kweli tutamlaumu sana dobi!
 
Kwani wewe usingependa tupate maelezo yenye kunyooka?

Ni vipi watuhumiwa wakajichunguza?

Unadhani linawezekana?
ni muhimu kuwa wastahimilivu na wenye subra maelekezo na maagizo ya Rais kuhusu hilo 🐒
 
Waandishi wanne wa Injili kwenye Biblia habari zilezile focus na maelezo tofauti kwa source yuleyule. Je, itakuwaje kwa habari kutoka reporters ambao wanategemea sources wanavyowapa habari? Boniface na Mnyika siyo primary (bali ni secondary) sources wa hilo tukio. Primary sources ni wale waliokuwa kwenye tukio na waliona kilichotokea. Tofauti hizi pia huwa tunaziona kwenye uandishi wa habari. Tukio linatokea, lakini kila mwandishi anaandika kutoka katika perspective fulani na pengine kutoka sources tofauti: mashuhuda, polisi na daktari. Kwenye baadhi ya seminar huwa kuna exercise fulani ya namna kilichosemwa na A hadi kufika kwa Z huwa maneno yameshabadikika. Mfano, unaweza kuambiwa na facilitator wa warsha kwamba "mwambie jirani yako kwamba tutakula kuku na chipsi". Mtu wa pili anaweza kumwambia wa 3 "tutakula kuku na chipsi". Mtu wa nne anaweza kuwa amesikia neno la mwisho tu "chipsi" na wa mwisho kabisa anaweza kusikia "nimeambiwa kuku na chipsi". Wakisimamishwa watu wawili, wa kwanza atasema "mwambie jirani yako kuwa tutakula kuku na chipsi" na mwisho yeye atasema "chipsi". Ndiyo shida ya communication ukishawahusisha sources 2, tena kama vyao vyao (primary sources) ni tofauti. Mfano, mashuhuda wawili dereva na konda ukiwauliza kilichotokea sidhani kwamba hata wao watakuwa na 'narration' ileile. Mmoja anaweza kutaja hata hao waliosimamisha gari walikuwa wamevaa nguo za rangi gani, na mwingine focus yake itakuwa kwa kitu kingine.

Kauli tata zitaendelea kuwapo.

Ndiyo maana mdhamini wa usalama wetu anao wajibu wa kutupa maelezo yaliyonyooka.

Kwamba kama nia ni njema, uchunguzi huru ulikuwa hauepukiki.
 
Back
Top Bottom